masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Feleshi ni mtu wa ajabu. Kwanza ana historia ya ufisadi (suala la Plea Bargaining hatujapata jibu).
Pili, ameshindwa kuitetea serikali au kushauri invyotakikna katika sula la mkataba wa DP World na serikali. Mpaka sasa hajatoa kauli ya kueleweka kwa nini mkataba usio na maslahi kwa nchi bado ukapitishwa bungeni. This is professional vandalism na misconduct.
TLS kma mpo mnaweza kulichukua suala hili kitaaluma, na kulinganisha na kiapo alicho ahidi huyu AG Feleshi mbele ya nchi na Rais.
Tatu sasa wale wanaoitetea nchi, anawafuata fuata kwa cheo chake, Kimsingi ni maumizi mabaya ya madaraka. Hili nalo linaweza kuchunguzika ukitilia maanani matukio ya hapo juu.
Nidiriki kusema huyu AG Feleshi is corrupt!