Mwanasheria Mkuu, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi: Tarehe anayozikwa Rais aliyefia madarakani kuwa mapumziko

Mwanasheria Mkuu, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi: Tarehe anayozikwa Rais aliyefia madarakani kuwa mapumziko

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2023 Bungeni Jijini Dodoma ikiwemo Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa, Sura ya 419 ambapo pamoja na mambo mengine marekebisho haya yanakusudia kutoa mamlaka kwa Rais kutangaza tarehe ya maziko ya Rgozi mahsusi walio madarakani”

Matangazo ya vifo ni muhimu kuliko kugawa bandari!!! Nani ameturoga sisi kisiwa cha amani?
 
Hata kama aliuza rasilimali Za Taifa?
Hata Mkapa mlisemaga kauza ila ndio Rais alikuza uchumi kushinda wote,the same to Samia ila tofauti ni kwamba huyu ni mwanamama kutoka Zanzibar ndio maana makelele yanatoka Kwa Wabara Kwa sababu za Kisiasa.
 
Mpumzike jyie
Karume naye alikufa akiwa Rais
Anayo siku ya mapumziko inaitwa Karume day

Maraisi wote wengine waliofariki.baada ya kustaafu hawana siku yao

Mfano Abood Jumbe na Abdul Wakil wote walifariki baada ya kustaafu hawana hiyo siku

Raisi wa muungano naona wamepeleka mswada kuenzi raisi mfia madarakani wa muungano
 
Eti siku ya kuzikwa, kwa vile siku ya kufa haisemwi?
 
Back
Top Bottom