Vicent daudi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 354
- 80
hii kesi serikali na ccm wanashindwa
Uadilifu na kufuata haki na sheria ni changamoto kubwa. Nchi nzima inabidi kujivua gamba kama kweli tunataka turejee uadilifu
Mkuu Candid with all due respects nadhani wafuatiliaji thread either purposely au unknowingly wameshindwa kufahamu hii habari inamaanisha nini. Sababu za kutotoa majibu ya uwiano ndiyo zilizotupiliwa mbali. Sometimes wanasheria hutumia hii kama tactical retreat ili kuongeza muda na kumuingiza gharama mshtaki.Nimesoma leo mmoja hapa nadhani Njele kasema mazoea hujenga tabia, ndilo linalojitokeza kwa viognozi wa serikali yetu. Mazoea ya kupindisha tafsiri za sheria tulizozoea nchini mwetu tunazivusha sasa kwa kiwango cha kimataifa na wanatushangaa tulivyo na vichwa vikubwa visivyotoa majibu yenye kueleweka. Wenzetu hawaangalii jina na hadhi ya mtu ila taratibu na sheria ndio ustaarabu wa mtu.
Mkuu Candid with all due respects nadhani wafuatiliaji thread either purposely au unknowingly wameshindwa kufahamu hii habari inamaanisha nini. Sababu za kutotoa majibu ya uwiano ndiyo zilizotupiliwa mbali. Sometimes wanasheria hutumia hii kama tactical retreat ili kuongeza muda na kumuingiza gharama mshtaki.
Kwa maoni yangu, Komu hawezi kushinda hii kesi kwa sababu uwiano wa wabunge kutoka Tanzania ni mdogo (au sijui mtasema mkubwa) kuliko nchi nyingine za EAC, natabiri Komu kushindwa na kulipa gharama kubwa.
Popote utakapomshirikisha WEREMA lazima uambulie aibu tuu....