Mwanasheria Mkuu Tanzania agaragazwa kesi ya ubunge EAC

Mwanasheria Mkuu Tanzania agaragazwa kesi ya ubunge EAC

Anafikiri kuwa alichaguliwa katika ile nafasi kwa kuangalia ujeuri wa wakuria. Mwangalia mara nyingi anapoongea anakuwa ameweka mikono mfukoni kuficha udhaifu wa kutojua kwamba hata hivyo haogopi.
.
 
Ata waliosoma nae wanasema ni KILAZA!
Ila sishangai maana ata aliyemchagua nae ndo ivyo ivyo sasa usitarajie achague vichwa kuongoza maeneo kama hayo anaogopa challenge.
Ikitokea kaweka vichwa ujue ni shinikizo
 
Duh! Maskini mark mrwambo,juzi tu karudi kutoka masomoni kwa mzee obama.alafu werema anamsakizia swala gumu kama hili.werema anajua kabisa hiyo kesi hawashindi lakin uccm umempofisha.
 
#NP Elimu Ya Mjinga - T.O.T Special Dedication to Mwanasheria Alepigwa Chini.

Kura Za Ndiyoooo zinampaga kichwa sana, wacha ajibu hoja sasa na fidia juu.
 
amefuzu sheria za kujipendekeza.
Hastaili hata uanasheria wa mahakama ya mwanzo.
 
Pengine Werema ana uwezo wa kutosha kitaaluma, tatizo la viongozi wetu si kukosa uwezo wa kufanya kazi bali ni kushindwa kufuata misingi ya haki katika kufanya kazi, au kukosa uadilifu wa kitaaluma. ni kama alivyowahi kusema rais wa zamani wa Marekani Bw. Theodore Roosevelt kwamba ''IN THE ABSENCE OF MORAL VALUE, THE MORE EFFICIENT YOU ARE THE WORSE YOU BECOME." ndio mana m2 kama Chenge Pamoja na uwezo wake mkubwa wa kisheria lakini amekuwa hasara kwa Taifa...Amekosa uadilifu. vivo hivyo kwa Werema na wenzake....
 
Uadilifu na kufuata haki na sheria ni changamoto kubwa. Nchi nzima inabidi kujivua gamba kama kweli tunataka turejee uadilifu
 
hayaa!!! Vilaza wanachaguana!! Huyu nina wasi wasi sana na elimu yake
 
Uadilifu na kufuata haki na sheria ni changamoto kubwa. Nchi nzima inabidi kujivua gamba kama kweli tunataka turejee uadilifu

Nimesoma leo mmoja hapa nadhani Njele kasema mazoea hujenga tabia, ndilo linalojitokeza kwa viognozi wa serikali yetu. Mazoea ya kupindisha tafsiri za sheria tulizozoea nchini mwetu tunazivusha sasa kwa kiwango cha kimataifa na wanatushangaa tulivyo na vichwa vikubwa visivyotoa majibu yenye kueleweka. Wenzetu hawaangalii jina na hadhi ya mtu ila taratibu na sheria ndio ustaarabu wa mtu.
 
Mkuu Candid with all due respects nadhani wafuatiliaji thread either purposely au unknowingly wameshindwa kufahamu hii habari inamaanisha nini. Sababu za kutotoa majibu ya uwiano ndiyo zilizotupiliwa mbali. Sometimes wanasheria hutumia hii kama tactical retreat ili kuongeza muda na kumuingiza gharama mshtaki.
Kwa maoni yangu, Komu hawezi kushinda hii kesi kwa sababu uwiano wa wabunge kutoka Tanzania ni mdogo (au sijui mtasema mkubwa) kuliko nchi nyingine za EAC, natabiri Komu kushindwa na kulipa gharama kubwa.
 
Nakubaliana na hoja zako, lakini kitu kimoja ambacho Mwanasheria wa Tanzania ameonekana ni mwanasheria asiyefuata sheria kwa kushindwa kujibu hoja ndani ya siku 45 alizopewa kitu ambacho ameanza kutiwa kitanzi. Kuna kitu ambacho kinaonekana kupindisha sheria ndio maana ya kuvuta muda kama tulivyozoea katika kesi nyingi Tanzania. Kwa kiwango cha kimataifa hawana kitu kama hicho kwani serikali ilishamweka mwanasheria wake katika kesi hiyo alitakiwa kufanya alichoagizwa kwa wakati.

Unaweza kukumbuka kesi nyingi mahakamani sasa zina zaidi ni miaka miwili hazijashughulikiwa na anayesuasua kuzikamilisha ni mwanasheria wa serikali. Wakishaona kuna makosa ambayo serikali imefanya wanaanza kutafuta sababu za kupunguza kasi ya utekelezaji wake. Utawala wa kisheria hauendi kwa mwendo huu ndio sasa wanaanza kudaiwa kulipa gharama za kesi kwa mlalamikaji kwa sababu tu wamechelewesha kujibu hoja zake ndani ya muda aliopewa.
 
Popote utakapomshirikisha WEREMA lazima uambulie aibu tuu....

Mchakacho wa Katiba mpya Werema alisema hapana, siku chache baadaye Kikwete anaruhusu mchakacho kuanza. Jamaa kilaza kwelikweli. Hulka ya kujenga utetezi wa kujipendekeza kwa Mkulu tu.
 
Back
Top Bottom