Mwanasheria mkuu UDOM aacha kazi kwa kukataa mashinikizo

Mwanasheria mkuu UDOM aacha kazi kwa kukataa mashinikizo

UDOM wasipo mtimua yule shemeji yake JK PROF Mlacha ambae ni Finance and Admin manager..chuo kitakufa kale kajibwa kajeuriiiii mwanafunzi ukimfata anakwambia kwamba "wewe umenizidi mimi urefu na umasikini tu" af anakutimua nakachukiaje!

Vikitu kama hivi ndo vinavyosababisha umasikini kuendelea kuwepo kwa kasi sana TZ na mwisho wao upo na unakaribia si zaidi ya miaka 3
 
Hahahaaa, hii nimeipenda sana.

Ina maana jamaa ni Mbilikimo wa kiania hivi.....

Eti umenizidi UMASIKINI na urefu tu. Ngoja 2015 Kikwete aondoke, kitatuzidi na KUFUNGWA.

CIMG9274.JPG

Ni huyo PIMBI aliyewafika katika viuno
 
Unajua kufikiri wewe. Big up!!! Halafu wakiambiwa hawawezi wanalalamika.

hahahahha wagala wanataka kushika wao sehemu zote, UDSM Inawashinda kila siku inaporomoka,sitaji vyuo vingine.Big up MUM mnatisha.
 
hahahahha wagala wanataka kushika wao sehemu zote, UDSM Inawashinda kila siku inaporomoka,sitaji vyuo vingine.Big up MUM mnatisha.
Huu ndio mzoga kabisa. Halafu nasikia Walimu wengi wa UDOM wanatoka hapa, kazi kweli
 
UYU = HUYU (Finalist wa UDOM?)
daah, kweli UOZO wa udom unaanza kujionyesha hapahapa kwa huyu "finalist" ambaye anatarajia kwenda kwenye soko la ajira!. udom binafsi naona wana MAJENGO tu yale usiku yanaonekana kama meli baharini!. products za udom SIZIKUBALI hata kidogo.
 
Hivi serikali na wakubwa wengine wanashindwa kufagia huyu mtu alafu kila siku anatajwa humu jf kuwa ndo chanzo cha uozo.Kweli hii inchi nakaribia kuhama.
 
Tatizo ni undugu.
Hivi mlacha ni nani hadi kushindwa kuchukuliwa hatua?
Tunaweza sema serikali imrshindwa kazi; na mkakataa basi haina macho wala meno ili kuona uozo huu ktk taasisi muhimu ya Elimu.
 
daah, kweli UOZO wa udom unaanza kujionyesha hapahapa kwa huyu "finalist" ambaye anatarajia kwenda kwenye soko la ajira!. udom binafsi naona wana MAJENGO tu yale usiku yanaonekana kama meli baharini!. products za udom SIZIKUBALI hata kidogo.
Pole sana!hivi unajua maneno yenu ndo yanawafanya wanafunzi wa udom wakomae kusoma kwa bidii ili kusafisha jina la chuo chao!!Elimu ya pale imesaidia wengi kutoka kimaisha iwe ni kuajiriwa au kujiajiri!sio busara msomi kumdharau msomi mwenzake!
 
Back
Top Bottom