Uchaguzi 2020 Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo akizungumzia vitendo vya NEC kukiuka Sheria

Uchaguzi 2020 Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo akizungumzia vitendo vya NEC kukiuka Sheria

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
29 Agosti 2020

Mwanasheria Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, aweka hadharani kinachoendelea Pemba.

Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Omar Said Shaaban, ambaye anasimamia mchakato wa kuwarejesha wagombea wa chama hicho walioenguliwa, anazungumzia hapa vitendo vya kukiuka sheria vilivyofanywa na wasimamizi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kisiwani Pemba.

Chanzo: Weyani TV
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nafikiri viongozi wote wa vyama vya Upinzani mnatakiwa kukutana na tume ASAP. This is serious.
 
Badala ya kuzungumza kwenye vyombo vya habari mngetumia taratibu za kisheria kuzungumza kungekuja baada ya njia zote kushindikana
 
jiwe anafikiri uraisi ni dezo dezo kama alivyobebwa 2015. Sasa amegundua kuwa hapendwi, anatumia kila njia kuiba kura
 
Njia za kukata rufaa mbona zipo, mikwara haisaidii
 
Kumkatia rufaa mhuni ni kupoteza muda. Wakurugenzi wa wilaya, wengi wao, hata akili ni kidogo sana. Hawa hawaelewi sheria wala kanuni. Wanaweza kuelewa kama umma utawapa kibano sahihi sawa na wahuni wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiitwa kwenye maandamano hamtokei
Vipi na Leo Lissu kahubiri maandamano au timu yake imeshauri asiongelee
 
Badala ya kuzungumza kwenye vyombo vya habari mngetumia taratibu za kisheria kuzungumza kungekuja baada ya njia zote kushindikana

Taqratibu za kisheria bongo??? hapa wacha watu waweke record sawa dunia ifahamu ili watu wakichafue tu, uchaguzi una muda maalum yaani watu wanakichafua makusudi alafu unashauri wakae nao tena???? Ebu kuwa serious wakati huu mtu akiweka ugoko wewe weka chuma
 
Sasa akilalamika hapa atapata nini
 
Back
Top Bottom