Kumkatia rufaa mhuni ni kupoteza muda. Wakurugenzi wa wilaya, wengi wao, hata akili ni kidogo sana.Njia za kukata rufaa mbona zipo,mikwara haisaidii
Mkiitwa kwenye maandamano hamtokeiKumkatia rufaa mhuni ni kupoteza muda. Wakurugenzi wa wilaya, wengi wao, hata akili ni kidogo sana. Hawa hawaelewi sheria wala kanuni. Wanaweza kuelewa kama umma utawapa kibano sahihi sawa na wahuni wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasije wakajutia tuPemba wasema sasa wako tayari kwa lolote
Badala ya kuzungumza kwenye vyombo vya habari mngetumia taratibu za kisheria kuzungumza kungekuja baada ya njia zote kushindikana
Sasa akilalamika hapa atapata niniTaqratibu za kisheria bongo??? hapa wacha watu waweke record sawa dunia ifahamu ili watu wakichafue tu, uchaguzi una muda maalum yaani watu wanakichafua makusudi alafu unashauri wakae nao tena???? Ebu kuwa serious wakati huu mtu akiweka ugoko wewe weka chuma