Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Audio au video yake inapatikana wapi?Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani.
Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake.
Watu wamechoka jamani na ni wazi yuko tayari kwa lolote.
Naona imeshindwa kupanda labda apandishe tena upyaAudio au video yake inapatikana wapi?
Nenda kwenye akaunti ya Hilder Newton ya mtandao wa X ame-repost hiyo clip.Audio au video yake inapatikana wapi?
Huko nako Kuna kupigwa tone tone au Bure?!!Nenda kwenye akaunti ya Hilder Newton ya mtandao wa X ame-repost hiyo clip.
Cheap popularity kaitafuta mwanasheria wa CHADEMA, kosa alilofanya SSH alikuwa anafanya mara kwa mara marehemu JPM na marais wengi duniani wanafanya.Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani.
Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake.
Watu wamechoka jamani na ni wazi yuko tayari kwa lolote.
Huyu sasa lazima wamtahiri...haki tenaAkiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani.
Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake.
Watu wamechoka jamani na ni wazi yuko tayari kwa lolote.
Kukosea majina ya watu ni common sana kwakuwa ndio pengine mara ya kwanza kuyasikia na pengine lugha tofauti lakini sio figure za Exchange rate ambazo kwa akili ya kawaida lazima ustuke sababu ni common.Cheap popularity kaitafuta mwanasheria wa CHADEMA, kosa alilofanya SSH alikuwa anafanya mara kwa mara marehemu JPM na marais wengi duniani wanafanya.
Kule USA Rais wao anashindwa kutamka majina ya wageni wanaokwenda white house, haimaanishi kwamba hana uwezo kisa kakosea kutaja bei sahihi ya petrol.
Slippery tongue kuteleza kwa ulimi. Kumbuka alijisahihisha muda ule ule baada ya kugundua kachemka.Kukosea majina ya watu ni common sana kwakuwa ndio pengine mara ya kwanza kuyasikia na pengine lugha tofauti lakini sio figure za Exchange rate ambazo kwa akili ya kawaida lazima ustuke sababu ni common.
Alisahihisha nini, mbona alizidi kuboronga?Slippery tongue kuteleza kwa ulimi. Kumbuka alijisahihisha muda ule ule baada ya kugundua kachemka.
Huyo katamka kwa maneno ila wapo wanaofanya kwa vitendo na mtoa mada hawaoniMbona kuna w
Mauaji na kupoteza watu ni zaidi ya matusi.
Huyo ana prejudice ya kufa mtu.Huyo katamka kwa maneno ila wapo wanaofanya kwa vitendo na mtoa mada hawaoni
Mbona ninyi na kulawiti Kwa vitendo Kila siku Tena raia wa Tz ila hatusemi kitu, ila huyo aliyeongea Kwa maneno mnamsumbuaView attachment 3570370
Mwanasheria wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshala anayesemekana ana PhD ya Havard anasema nchi imef...wa na kulawitiwa.
Hawa ndiyo wanataka CCM iwaachie madaraka??