mwanasheria mkuu wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tundu Lisu hakutaka kabisa mwanasheria mkuu wa Chadema awe miongoni mwa mashahidi wake muhimu?

    Badala yake, akawachagua Myika, Amani, Brenda na Heche ambao wote kwa pamoja walimkaanga na kumsagia kunguni vizuri sana mwenyekiti wao huyo anaekabiliwa na tuhuma za uhaini? Je, alionao kwamba mwanasheria huyo wa mchongo wa chade angemchoma zaidi kizimbani? Au, Je, hamuamini mwanasheria huyo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala kuzungumza leo Jumatatu Julai 27, 2026

    https://www.youtube.com/live/pnUzy-lmNrA?si=OenV3rhwlyxFnEbk
  3. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania NijuzeNews: Mahojiano na Dr. Nshala, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA.

    Katika mahojiano na NijuzeNews, Dk Nshala atema nyongo! https://www.youtube.com/watch?v=E1YHABa2SGc
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kaamua kuita nyekundu ni nyekundu na si nyeupe au vinginenyo

    Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta duniani. Hakika kaamua liwalo na liwe maana hajazunguka katika matamshi yake. Watu wamechoka...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu CHADEMA: Polisi wanazuia Wanachama wa CHADEMA wasipande miti, mbona ya Kizimkazi hawazuii?

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema: “Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA: Mifuko mbalimbali ya Serikali inaitwa Samia, hiyo ni kampeni haramu. Tume ya Uchaguzi haijawahi kukemea

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wa waandishi wa habari Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Rugelemeza Nshala leo amekosoa uwepo wa takrima kwenye kipindi hiki cha Uchaguzi akitaja masuala kama vitendo vya wanasiasa kuandaa futari, kugawa Tshirt na vizawadi vingine ni rushwa ya wazi na tume...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Nshala kuongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama Mikocheni

    Taarifa iliyosambazwa na Chama Hicho kote Duniani hii hapa. Mwanasheria Mkuu wa Chadema kuongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama Mikocheni
Back
Top Bottom