Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala kuzungumza leo Jumatatu Julai 27, 2026

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
photo_2026-07-27_11-13-41.jpg

View: https://www.youtube.com/live/pnUzy-lmNrA?si=OenV3rhwlyxFnEbk​
 
Kama unamjua basi hupashwi kuquestion IQ yake na jinsi anavyoelewa mambo ya nchi hii
Gentleman,
binafsi sijaquestion mahali, bali nimeeleza ukweli mtupu dhidi ya uwezo mdogo mno alionao huyo muungwana kwenye masuala ya kisheria, kwasababu ninamfahamu vizuri sana eneo hilo 🐒
 
Unafahamu PHD ya Harvard University inapatikanaje??
Na hicho chuo kwa ubora ni cha ngapi duniani???
Msipotezwe na mijadala ya kufurahishana jenga hoja juu ya facts zinazo simama zenyewe bila kuwekewa gundi.
 
huenda hapo ndiko kwenye changamoto iliyosababisha kibaraka kuubeba huo mzigo 🤣
 
Kwa maoni yangu,
nadhani huyu muungwana hakustahili kabisa kua mwanasheria wa chadema, ila kwasababu ya urafiki na kibaraka ndio hivyo tena akaula asichostahili.

but the getleman is not fit and competent enough in law industry within the land 🐒
WHO ARE YOU.?
 
Mwanachama wa CHADEMA kadi namba ngapi wewe?

Nakushauri utembee na kikopo cha mchanga maana ndimu hazikusaidii kupambana na kimbami kinachokuchefua chefua😀😀
 
Kwa maoni yangu,
nadhani huyu muungwana hakustahili kabisa kua mwanasheria wa chadema, ila kwasababu ya urafiki na kibaraka ndio hivyo tena akaula asichostahili.

but the getleman is not fit and competent enough in law industry within the land 🐒
Pendwa rushwa anapenda sana kuchangia. Kwa nini husichangie huko kwenye group lenu la wala rushwa?
 
Back
Top Bottom