Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 524
- 829
Sawa, naona ameanza kuzungumza
Kwa Rugemeleza Nshala hakuna PhD ya Harvard, labda ya kama ipo ni fekiUnafahamu PHD ya Harvard University inapatikanaje??
Na hicho chuo kwa ubora ni cha ngapi duniani???
Msipotezwe na mijadala ya kufurahishana jenga hoja juu ya facts zinazo simama zenyewe bila kuwekewa gundi.
Gentleman,Kwani uongo kuwa wewe na CCM wenzako mnapenda kula rushwa. Eti chama kinawaonga wanachama wa CHADEMA wamchafue Heche. Unaona kabisa CCM ni chama kinachoamini katika rushwa na sio siasa safi.
Mnashindwa kujibu hoja zito za kitaifa kuhusu uporaji wa mali, wizi etc. Ninyi mmebaki kushangilia tu eti mama anaupiga mwingi....

Pls google ndiyo useme hivyo acheni maigizo.Kwa Rugemeleza Nshala hakuna PhD ya Harvard, labda ya kama ipo ni feki