Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
kwanini na wewe usiendelee kudanyanyana na kupotoshana na wafuata mkumbo wenzako dm na unakuja kumbwelambwela nonsense jukwaani na mihemko useless?🐒Pendwa rushwa anapenda sana kuchangia. Kwa nini husichangie huko kwenye group lenu la wala rushwa?
Gentleman,Mwanachama wa CHADEMA kadi namba ngapi wewe?
Nakushauri utembee na kikopo cha mchanga maana ndimu hazikusaidii kupambana na kimbami kinachokuchefua chefua😀😀
Gentleman,😁😁😁 mkuu wa gereza la Ukongo juzi kati alisema hapo ndipo kuna utata baaba ya kukosa jibu la swali toka kwa wakili Neema😁😁😁
Saa hii ni saa 7, ameshaanza au ndio mambo ya African time?
Tatizo ni kwamba kila aliye mbogamboga haoni shida kudanganya.Gentleman,
binafsi sina kadi ya uanachama wa chama chochote cha siasa nchini kwasasa, ndio maana wajibu wangu unabaki kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu bila kuchoka wala regardless ya makasiriko au mihemko useless ya mdau yeyote yule wa Jf juu ya ukweli huo 🐒
alivyo mbabaifu na mchovu vile hawezi kuanza porojo zake saa7 juu ya alama gentleman, tuwe na huruma kidogo plz kwa watu wa aina yake 🐒Saa hii ni saa 7, ameshaanza au ndio mambo ya African time?
Kila post ni elfu 7. Mwaka huu unaongeza corolla namba Akwanini na wewe usiendelee kudanyanyana na kupotoshana na wafuata mkumbo wenzako dm na unakuja kumbwelambwela nonsense jukwaani na mihemko useless?🐒
Mwizi tu wewe.Gentleman,
binafsi sina kadi ya uanachama wa chama chochote cha siasa nchini kwasasa, ndio maana wajibu wangu unabaki kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu bila kuchoka wala regardless ya makasiriko au mihemko useless ya mdau yeyote yule wa Jf juu ya ukweli huo 🐒
I hope umefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani, right?Kila post ni elfu 7. Mwaka huu unaongeza corolla namba A
relax bas tajiri wa kuporomosha matusi jukwaani 🐒Mwizi tu wewe.
si ni kama ilivyokua rahisi tu kuwatambua na kuwafahamu mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, wafuata mkumbo na wasusia uchaguzi kwa mihemko, makasiriko na styles zao tofauti tofauti za kutukana na kuporomosha matusi jukwaani, right, hasa wakilemewa na hoja?🐒Tatizo ni kwamba kila aliye mbogamboga haoni shida kudanganya.
Neno MTAWAFAHAMU KWA MATENDO YAO halikuwahusu makaasisi peke yao.
CountDown timersi ni kama ilivyokua rahisi tu kuwatambua na kuwafahamu mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, wafuata mkumbo na wasusia uchaguzi kwa mihemko, makasiriko na styles zao tofauti tofauti za kutukana na kuporomosha matusi jukwaani, right, hasa wakilemewa na hoja?🐒
kwa faida ya wadau wa Jf,CountDown timer
Onesha petition kuwa wadau wa JF wamekuomba ili uniomba ufafanuzikwa faida ya wadau wa Jf,
ungeeleza kwa kina kifupi kidogo hiyo porojo yako gentleman na itapendeza zaidi 🐒
Gentleman,Onesha petition kuwa wadau wa JF wamekuomba ili uniomba ufafanuzi
Unahamisha mjadala wa thread to one to one ili kuondoa mantiki ya mjadala
Kwani uongo kuwa wewe na CCM wenzako mnapenda kula rushwa. Eti chama kinawaonga wanachama wa CHADEMA wamchafue Heche. Unaona kabisa CCM ni chama kinachoamini katika rushwa na sio siasa safi.relax bas tajiri wa kuporomosha matusi jukwaani 🐒
Ukosefu wa utekelezaji wa sheria na kutumia mazoea na maagizo kutoka juu yasiyo na msingi wa kisheria. Sasa likija swala ka kujibiwa kisheria ndiyo viongozi wetu waandamizi tena wenye dhamana kubwa wanatoa majibu kama hayo tena mbela ya mahakama kuu.Gentleman,
labda ungewafafanulia zaidi wadau wa Jf kuhusu hilo na itapendeza zaidi 🐒