Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
05 May 2026
Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA

MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA


View: https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s

Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa mazingaombwe ya Jaji Chande haikuwa ripoti bali ni hotuba tu ya mwenyekiti wa Tume ya jaji Chande na kuwa tume iligeuzwa kuwa kitengo cha propaganda chafu za chama dola kongwe kinachongangania kubaki madaraka kupitia kuua na kujeruhi raia.

Ubatili wa kisheria na kukosa uhalali wa kisiasa wa ripoti ya tume haramu ya jaji Chande, wasababisha kamati kuu ya chama kikuu cha siasa nchini Tanzania yaani CHADEMA kuyakataa matokeo ya uchunguzi 'rasmi' ya Jaji Chande, yaja na mapendekezo ya kufanyika uchunguzi huru wa kimataifa wenye sura ya kijaji

Kamati kuu ya CHADEMA imesema Tume ya jaji Chande iliamua kuwasafisha majahili wa serikali haramu iliyofanya mauaji ya kutisha kabla, wakati na baada ya uchaguzi haramu wa 29 Oktoba 2025

Kiburi majivuno na ngebe za serikali ya kikaburu ya CCM kupuuza maoni yaliyokusanywa na tume za Jaji Nyalali, Tume ya Jaji Warioba n.k wamekataa kwa kutumia kila aina ya upotoshaji kukwepa kutambua mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania

Hivyo CCM kuendelea mikakati miovu kupoka haki ya watanzania kujichangulia kwa uhuru viongozi wanaoona wanafaa..

Kamati Kuu ya CHADEMA imeonyesha uwezo mkubwa wa kufanya kile ambacho kwenye medani za kimkakati huitwa strategic narrative consolidation Yaani kuunganisha matukio yaliyotawanyika kwa miaka tofauti na kuyafanya yaonekane kama sehemu ya operesheni moja yenye muendelezo.

Kupitia maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA yaliyosomwa na mwanasheria mkuu wa CHADEMA Dr. Rugemeleza Nshala iliyosheheni vizuri mlolongo wa matukio ya chama dola, matamshi ya viongozi wa CCM, wakuu wa mikoa, vyombo vya usalama, media za machawa
 
CHANDE alihairisha hotuba mara mbili lakini imekwama Sasa anaalika watu wa nje kumsaidia kusafisha damu za watanzania

Kina Didier Drogba wafikiwe na vijana wote wazalendo GenZ

05 May 2026
Dodoma, Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea FC, Didier Drogba, katika Ikulu ya Ikulu Chamwino leo Mei 5, 2026.

Katika mazungumzo yao, Rais Samia amemuomba nyota huyo wa soka kuwa Balozi wa Tanzania kuelekea fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, hatua inayolenga kuongeza hamasa ya michezo na kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia soka.

DROGBA-5.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na Timu ya Chelsea ya Uingereza Didier Drogba mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 05 Mei, 2026.
DROGBA-3.jpg

Aidha, Rais Samia ameielekeza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kushirikiana na Drogba ili kubadilishana uzoefu katika kuanzisha na kuendesha vituo vya kukuza vipaji vya michezo (Sports Academy), ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha maendeleo ya soka na michezo kwa ujumla nchini.

Kwa upande wake, Drogba amemshukuru Rais Samia kwa mwaliko huo na kuonesha utayari wake wa kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukuza michezo na vipaji vya vijana.

Mbali na mafanikio yake makubwa ndani ya uwanja wa soka, Drogba anatambulika pia kwa mchango wake wa kijamii, ikiwemo juhudi zake mwaka 2005 zilizosaidia kusitishwa kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Ivory Coast, hatua iliyomjengea heshima kubwa kimataifa.
 
Kamati Kuu ya CHADEMA imeonyesha uwezo mkubwa wa kufanya kile ambacho kwenye medani za kimkakati huitwa strategic narrative consolidation Yaani kuunganisha matukio yaliyotawanyika kwa miaka tofauti na kuyafanya yaonekane kama sehemu ya operesheni moja yenye muendelezo.
"Kamati Kuu CHADEMA imepata taarifa nyingi kutoka sehemu mbali mbali nchini kuwa amri hiyo ya zuio ilitumika katika sehemu hizo bila kuwepo tangazo maalumu juu ya zuio kuwekwa rasmi katika sehemu hizo.

Aidha, Kamati Kuu CHADEMA imebaini kuwa mauaji mengi yalifanywa baada ya kutolewa kwa amri hiyo haramu.

Ni polisi, watu wa usalama, askari wa KMKM, na askari waliokuwa wakizungumza lugha ya Kiingereza chenye lafudhi ya kutia shaka (kwa makusudi kuzuga au mamluki) ndio walikuwa mitaani na wanaodaiwa kufanya mauaji hayo ya kinyama."
 
05 May 2026
Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA

05 May 2026
Dar es Salaam, Tanzania

BRENDA RUPIA PRESENTS RESOLUTIONS OF THE CHADEMA PARTY CENTRAL COMMITTEE THAT CONVOCATED RECENTLY IN MAY 2026


View: https://m.youtube.com/watch?v=tNAjKw3eE_8

Brenda Rupia Kamanda, spokesperson of main political party in Tanzania presenting a written statement issued by the party secretary general John John Mnyika today 05th May 2026 in Dar es Salaam
 
05 May 2026
Dar es Salaam, Tanzania

BRENDA RUPIA PRESENTS RESOLUTIONS OF THE CHADEMA PARTY CENTRAL COMMITTEE THAT CONVOCATED RECENTLY IN MAY 2026


View: https://m.youtube.com/watch?v=tNAjKw3eE_8

Brenda Rupia Kamanda, spokesperson of main political party in Tanzania presenting a written statement issued by the party secretary general John John Mnyika today 05th May 2026 in Dar es Salaam


This press release should reach Didier Drogba's door addresses in Abidjan Cote d'Ivore and Marseille city in France for him to shy away from being used by the blood stained regime of Samia Hassan as an ambassador of Samia regime for AFCON 2027.
 
This press release should reach Didier Drogba's door addresses in Abidjan Cote d'Ivore and Marseille city in France for him to shy away from being used by the blood stained regime of Samia Hassan as an ambassador of Samia regime for AFCON 2027.
Drogba's shock arrival in Tanzania sparks AFCON 2027 with political correctness stance against Samia Hassan dictatorship regime that is accused of murdering and summary execution of protestors

05 May 2026
Tanzania's Bold Move: Drogba Named Goodwill Ambassador

View: https://m.youtube.com/watch?v=8kfpyt8aqEM
Tanzania has made a bold move by naming Didier Drogba as its goodwill ambassador, a decision that is expected to boost the country's football reputation and attract more fans to the African Cup of Nations.

As a legendary Chelsea FC player, Drogba is known for his exceptional skills on the field, scoring numerous afcon goals and showcasing his talents in afcon highlights.

His appointment is a significant move for African football, and fans of the beautiful game can expect to see more exciting soccer highlights and top goals from the region.

With his experience playing for Chelsea and his involvement in caf football, Drogba is well-equipped to promote Tanzania and the African Cup of Nations, bringing attention to the best goals and most thrilling football action.

As a goodwill ambassador, Drogba will likely be involved in various initiatives, including football reels and goal shorts, to promote African soccer and support the development of football in Africa.

This move is a testament to Tanzania's commitment to supporting African football and its desire to be at the forefront of the sport, alongside other prominent teams like Chelsea FC. With Drogba on board, fans can expect to see more exciting football shorts, afcon skills, and soccer highlights, making this a great time for African football enthusiasts

Sic !
 
Back
Top Bottom