Unadhani ni kwanini Tundu Lisu hakutaka kabisa mwanasheria mkuu wa Chadema awe miongoni mwa mashahidi wake muhimu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Badala yake, akawachagua Myika, Amani, Brenda na Heche ambao wote kwa pamoja walimkaanga na kumsagia kunguni vizuri sana mwenyekiti wao huyo anaekabiliwa na tuhuma za uhaini?

Je, alionao kwamba mwanasheria huyo wa mchongo wa chade angemchoma zaidi kizimbani?

Au,
Je, hamuamini mwanasheria huyo au uwezo wa mwanasheria huyo ni mdogo sana, kama ambavyo daima hua sote tunamuona anavyohangaika na kubabaika kuelezea mambo madogo tu ya kisheria kuhusu chadema na Lisu kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Badala yake,
akawachagua Myika, Amani, Brenda na Heche ambao wote kwa pamoja walimkaanga na kumsagia kunguni vizuri sana mwenyekiti wao huyo anaekabiliwa na tuhuma za uhaini?

Je, angemchoma zaidi kizimbani?

Au,
Je,
hamuamini mwanasheria huyo au uwezo wa mwanasheria huyo ni mdogo sana, kama ambavyo daima hua sote tunamuona anavyohangaika na kubabaika kuelezea mambo madogo tu ya kisheria kuhusu chadema na Lisu kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Uzi tayari???
 
Ukisikia akili za hapa na pale ndio hizi Sasa!Umetoka usingizini umeota,haraka haraka ukaona una hoja ya maana!
Swali jepesi,unajua maana ya shahidi?
Sasa huyo mwanasheria kama hakuwepo wakati wa huo mkutano,anaenda kutoa ushahidi wa Nini?Mashahidi wote aliowaleta Lissu ni wale walioandaa na kushiriki mkutano ambao ndio anatuhumiwa nao kufanya Uhaini!
Au ulitaka alete shahidi wa mfukoni kama wafanyavyo upande wa mashtaka?
 
DCI Ramadhan Kingai alikuwepo sio kwenye huo mkutano gentleman?:pedroP:
 
DCI ndio mpishi wa kesi,IGP na CDF ni wakuu wa vyombo ambavyo Lissu anashtakiwa kuwatisha!Hawa wana maslahi ya Moja kwa Moja na kesi!Ndio maana mahakama ikaona ushahidi wao ni relevant!
Sasa mwanasheria mkuu wa chama,kama hakuwepo kwenye mkutano na si sehemu ya mkutano,anakuwaje shahidi?
Usipoelewa na hapo basi!

Nadhani kama ungejiuliza hayo yote hapo juu,usingekurupuka kuandika huu Uzi!
Wanaokwambia "Uzi tayari",wamekupuuza!Hawana muda wa kuandika kukuelimisha!
Mimi nimeona nikupe elimu bure ili next time ujifikirie mara 2!
 
kwahiyo mwanasheria mkuu wa chadema siku ile alikua muosha watu mikono sio? :pedroP:

jamaa anadharaulika hadi huruma, dah.

ufanye limkutano lako huko la kihaini halafu uje kuhadaa watu eti DCI au CDF ana maslahi na uhaini wako?
that's useless, lisu atawahadaa sana vibwengo katika masuala ya sheria gentleman 🐒
 
Nimemaliza kutoa elimu,hayo mengine ni ya kwako!
Yes,
ukikiuka sheria za nchi utawajibishwa kwa mujibu wa sheria bila huruma, haya wala aibu ili iwe fundusho kwa waliokosa adabu kwa sheria kama huyo kibaraka muhaini anaesota korokoroni 🐒
 
Kwa akili hizo hapo baba yako bora angepiga nyeto kuliko kukuzaa wewe mbwa
Gentleman,
kwamba unadhani ukitukana au ukipotomosha matusi ndio utamake sense, right?

empty head ni empty head tu hata ufanyaje :pedroP:
 
Wewe shoger uchawa haukusaidii kitu walikuwa kina jinga lao elitwege na wamekimbia ID zao humu
You can insult as you can as you wish gentleman,

but mwanasheria wa chadema anadharaulika mno aise had huruma 🐒
 
Gentleman,
kwamba unadhani ukitukana au ukipotomosha matusi ndio utamake sense, right?

empty head ni empty head tu hata ufanyaje :pedroP:
Uncircumcised baboon toka umeanza kunajisiwa huko lumumba na akili yako ndiyo ikaharibika kabisa
 
insults can never hide the truth kwamba huenda mwanasheria mkuu wa chadema ana IQ ndogo mno kwenye masuala ya kisheria ndio maana Lisu hakumtaka mahakamani kama shahidi wake 🐒
 
Badala yake, akawachagua Myika, Amani, Brenda na Heche ambao wote kwa pamoja walimkaanga na kumsagia kunguni vizuri sana mwenyekiti wao huyo anaekabiliwa na tuhuma za uhaini?

Je, alionao kwamba mwanasheria huyo wa mchongo wa chade angemchoma zaidi kizimbani?

Au,
Je, hamuamini mwanasheria huyo au uwezo wa mwanasheria huyo ni mdogo sana, kama ambavyo daima hua sote tunamuona anavyohangaika na kubabaika kuelezea mambo madogo tu ya kisheria kuhusu chadema na Lisu kwa ujumla?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hela ya ccm unaila kiurahisi mzee
 
You can insult as you can as you wish gentleman,

but mwanasheria wa chadema anadharaulika mno aise had huruma 🐒
Yani wewe unanuswa kweli kwa hiyo uliambiwa shahidi lazima awe mwansheria mkuu wa CDM?Wewe kweli bwabwa hivi huwaga wanakufanya ukilewa au huwa upo normal??
 
Unahangaika na Lissu Nchimbi mshampata? Mpango kamili baada ya mama! Lissu hawajawahi kuomba huruma kwa kima yoyote Yule ni fighter mlimshindwa kwa risasi mtamuweza kwa maneno ya mipasho? Utter nonsense
 
Back
Top Bottom