Wewe ndiyo una IQ ndogo zaidi kwa kufikiria kuwa mwanasheria mkuu CDM lazima awe shahidi kwenye hiyo kesi. Ukimaliza nenda kakatike viuno lumumba upate pesaGentleman,
insults can never hide the truth kwamba huenda mwanasheria mkuu wa chadema ana IQ ndogo mno kwenye masuala ya kisheria ndio maana Lisu hakumtaka mahakamani kama shahidi wake 🐒
Wewe mbona wanakunajisi huko CCM na bado unavumilia kuwa bwabwaIla mwanasheria mkuu wa chadema anaepitia fedheha na mateso makali sana ya kisaikolojia ila anavumilia tu kisabuni gentleman![]()
siwezi kuhangaika na muhalifu na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi gentleman.Unahangaika na Lissu Nchimbi mshampata? Mpango kamili baada ya mama! Lissu hawajawahi kuomba huruma kwa kima yoyote Yule ni fighter mlimshindwa kwa risasi mtamuweza kwa maneno ya mipasho? Utter nonsense
Ikiwa mwanasheria mkuu wa chadema ana IQ kubwa ilifaa awe shahidi namba moja wa mtuhumiwa wa uhaini?Wewe ndiyo una IQ ndogo zaidi kwa kufikiria kuwa mwanasheria mkuu CDM lazima awe shahidi kwenye hiyo kesi. Ukimaliza nenda kakatike viuno lumumba upate pesa
iliwezekanaje mtuhumiwa wa uhaini awahadae wanachama wa chadema kwamba DCI, IGP na CDF wanaweza kua mashahidi wa kutetea uhalifu na makosa yake?🐒Yani wewe unanuswa kweli kwa hiyo uliambiwa shahidi lazima awe mwansheria mkuu wa CDM?Wewe kweli bwabwa hivi huwaga wanakufanya ukilewa au huwa upo normal??
Kwanini chadema wanamdharau sana mwanasheria mkuu wa chadema taifa?Huko kwenu mbna kuna misiba ya kutosha tu? Kutwa kucha Lissu Lissu hamnaga issue ingine? Kama mbwa koko kutwa kwa jirani kutafuta viporo si mkajenge chama dumę tu? Mama kampoteza Nchimbi kwa nini usifuatilie hayo kutwa upo na Lissu na mabwanyeye unayataka? Unaona wivu? Kuna mangapi ya kufanya dunia hii? Kama muhalifu achana nae tu kijana potezea upate afya

We ni mwanasheria?Badala yake, akawachagua Myika, Amani, Brenda na Heche ambao wote kwa pamoja walimkaanga na kumsagia kunguni vizuri sana mwenyekiti wao huyo anaekabiliwa na tuhuma za uhaini?
Je, alionao kwamba mwanasheria huyo wa mchongo wa chade angemchoma zaidi kizimbani?
Au,
Je, hamuamini mwanasheria huyo au uwezo wa mwanasheria huyo ni mdogo sana, kama ambavyo daima hua sote tunamuona anavyohangaika na kubabaika kuelezea mambo madogo tu ya kisheria kuhusu chadema na Lisu kwa ujumla?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Inakuhusu? Potezea tu fanya yakoKwanini chadema wanamdharau sana mwanasheria mkuu wa chadema taifa?
na kwani mtuhumiwa wa uhaini awadanganye wanachama wa chadema kwamba DCI, IGP na CDF ni mashahidi wake?![]()
wewe inaonekana haukufuzu mafunzo ya kutukana na kuporomosha matusi jukwaani kwa ustadi zaidi kama wanachama wengine wa chadema.Wewe mbona wanakunajisi huko CCM na bado unavumilia kuwa bwabwa

kama mTanzania na mwanasiasa muandamizi niliepo JF, nadhani ninahusika kwa 100% kuchangia na kutoa maoni yangu jukwaani kwa uhuru na haki kama wadau wengine wa Jf.Inakuhusu? Potezea tu fanya yako
Damu ya Nchimbi inawalilia Chawa wote wa mama yenukama mTanzania na mwanasiasa muandamizi niliepo JF, nadhani ninahusika kwa 100% kuchangia na kutoa maoni yangu jukwaani kwa uhuru na haki kama wadau wengine wa Jf.
na kwakweli,
siwezi kubabaika wala kupoteza wakati na makasiriko au mihemko ya mdau yeyote yule ambae ni pointless jukwaani 🐒
Hayo unayosema na mada uliyoanzisha ni vitu viwili tofauti!Mtu wa aina Yako sio wa kujenga naye hoja!Upo kishabiki tu!Yes,
ukikiuka sheria za nchi utawajibishwa kwa mujibu wa sheria bila huruma, haya wala aibu ili iwe fundusho kwa waliokosa adabu kwa sheria kama huyo kibaraka muhaini anaesota korokoroni 🐒
kwamba na wewe ulibebwa ufala wa kifikra na ukadanganyika kabisa kwamba DCI, IGP na CDF ni mashahidi wa muhalifu na watafika mahakama kutetea uhalifu wa mtuhumiwa wa uhaini, right?We ni mwanasheria?
Unafikri sheria ni yanga na Simba?
Acha conspiracy theory za kipumbavu! Za kuamini ukishikwa bega nyeti zinapotea, au kikombe cha babu wa loliondo kilikuwa kinatibu! Akili za ccm

wewe angalia utakacho angalia,Hayo unayosema na mada uliyoanzisha ni vitu viwili tofauti!Mtu wa aina Yako sio wa kujenga naye hoja!Upo kishabiki tu!
Halafu sikuangalia mapema,ilitakiwa niangalie ID yako ni ya lini ndio niweze kukujibu!
Nimeangalia Sasa nimeelewa!Umri unakuruhusu,ukikua utajitambua!
Katuga alipinga kabisa kizimkazi asiwe shahidiBadala yake, akawachagua Myika, Amani, Brenda na Heche ambao wote kwa pamoja walimkaanga na kumsagia kunguni vizuri sana mwenyekiti wao huyo anaekabiliwa na tuhuma za uhaini?
Je, alionao kwamba mwanasheria huyo wa mchongo wa chade angemchoma zaidi kizimbani?
Au,
Je, hamuamini mwanasheria huyo au uwezo wa mwanasheria huyo ni mdogo sana, kama ambavyo daima hua sote tunamuona anavyohangaika na kubabaika kuelezea mambo madogo tu ya kisheria kuhusu chadema na Lisu kwa ujumla?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kujaribu kuhamisha au kupindisha mjadala kwa ramli ambazo hazina maana yoyote kwenye mjadala mahususi.Damu ya Nchimbi inawalilia Chawa wote wa mama yenu