Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #41
eleza wadau wa Jf,Katuga alipinga kabisa kizimkazi asiwe shahidi
kulikoni mwanasheria mkuu wa chadema taifa asiwe ndio shahidi namba moja wa mtuhumiwa wa uhaini ambae alikuepo eneo na siku ya tukio hilo la kihalifu, badala yake eti DCI, IGP na CDF ndio wawe mashahidi wa muhalifu, ambao hata eneo la tukio hawaijui?
hivi inakuingia akilini kweli hii gentleman?🐒