Badala yake, akawachagua Myika, Amani, Brenda na Heche ambao wote kwa pamoja walimkaanga na kumsagia kunguni vizuri sana mwenyekiti wao huyo anaekabiliwa na tuhuma za uhaini?
Je, alionao kwamba mwanasheria huyo wa mchongo wa chade angemchoma zaidi kizimbani?
Au,
Je, hamuamini mwanasheria huyo au uwezo wa mwanasheria huyo ni mdogo sana, kama ambavyo daima hua sote tunamuona anavyohangaika na kubabaika kuelezea mambo madogo tu ya kisheria kuhusu chadema na Lisu kwa ujumla?š
Mungu Ibariki Tanzania