McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wa waandishi wa habari Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Rugelemeza Nshala leo amekosoa uwepo wa takrima kwenye kipindi hiki cha Uchaguzi akitaja masuala kama vitendo vya wanasiasa kuandaa futari, kugawa Tshirt na vizawadi vingine ni rushwa ya wazi na tume ya Uchaguzi iko kimya tu
"Mwezi uliopita wale waliokuwa wabunge walisema wanafutarisha kila maeneo, eti matendo ya ukarimu. Kwani miaka iliyopita walikuwa wapi? Mahakama ilitangaza kwamba masuala yote yanayohusisha takrima ni kunyume cha katiba na yanakiuka misingi mikubwa"