Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA kaamua kuita nyekundu ni nyekundu na si nyeupe au vinginenyo

Mbona kuna w lakini hujawahi kutokuwa povu kwa vitendo hivyo viovu au kwa
Mauaji na kupoteza watu ambapo ni zaidi ya matusi?!
Hizo ni issue 2 tofauti. Waliolalamika kufirwa ni Boniface Mwangi na Agatha. Ila Dr Nshala anasema nchi imefi na kulawitiwa.

Mimi nitoeni, ila kama na wewe Yoda na Dr Nshala na Heche mumefirwa, basi poleni
 
Huyo katamka kwa maneno ila wapo wanaofanya kwa vitendo na mtoa mada hawaoni
Je wadhani hiyo ni kauli nzuri kutoka kwa mshauri wa CHADEMA kwenye mambo ya Sheria?

Kama jibu ni ndiyo, basi sishangai kwa nini Tundu yuko Ukonga kwa tuhuma za uhaini na huku nyuma nayo CHADEMA iko kabatini
 
Mbona kuna watu waliotekwa walilamika kufirwa na kulawitiwa lakini hujawahi kutokuwa povu kwa vitendo hivyo viovu au kwa
Mauaji na kupoteza watu ambapo ni zaidi ya matusi?!
Hawa ilikua haki yao kufirwa kabisa
 

Attachments

  • Waliotumwa na kulipwa kuingia mtaani kutaka kuangusha Serikali Oktoba 29 inaelekea hawakupewa ...mp4
    1.7 MB

True. Watu wamechoshwa na UHUNI NA WAHUNI kama alivyowaita Poleple.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…