TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

Ila Paul Bomani pamoja na kuoa mchaga yeye alizikwa Mwanza. Iam sure Mark alichangia kaka yake azikwe Mwanza. Mark najua kabisa angependa azikwe alikozikwa kaka yake. Sema maiti hana sauti.
Labda alitaka yeye
 
Na kwa vile alikua mwanasheria, najua mambo ya kuandika wosia na mambo ya azikwe wapi akitwaliwa atakua aliyaweka sawa mapema.
Issue siyo kuwa mwanasheria,wengi hatiandiki usia uzikwe wapi. Tunaona kama uchuro.
 
Rest In Power Mshua.

Mnapotunanga Wasukuma muwakumbuke hawa washua, the Bomanis, Justice Nyalali, Chief Makwaia etc. Washua wenye heshima zao walioitumikia nchi vizuri sana.

Siyo kuwaangalia hawa wengine kina Bashite na Mzee Baba wake waliokuja mjini na kajamba nani juzi tu.
 
Usimsahau sir kahama
 
John Rupia pia,msukuma na mtanzania wa kwanza Tajiri alietoa pesa zake kumsaidia Julius aende Ulaya kuomba uhuru.
 
Baba yako alivuna alichopanda
W
Wateule wanampenda ila mimi mwananchi wa kawaida namchukia sana.Kamfukuza kazi ya ualimu baba yangu kisa cheti,walimuajiri vipi?mbona wanafunzi aliokuwa anawafundisha wafaulu kwenda sekondari
 
Hivi uko hapa Tanzania kweli ? Huyo Lussu wako hata 10% ya kura hatapata
 
Hivi uko hapa Tanzania kweli ? Huyo Lussu wako hata 10% ya kura hatapata
Sasa mnahangaika na Nani kujaza wasanii,kutunga Sheria Kandamizi kipindi hiki,kuengua wagombea, kubambika kesi
 
Huyo kati DJ Red?

Wanafananafanana sana.

Mtoto wake wa kwanza, Heri Bomani nae alikua DJ anaandika hivyo hadi kwenye CV yake kwamba ni DJ, DJ Red ndio ilikua utambulisho wake kama sikosei. Ni huyo wa mwanzo kulia. Amewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya KCB akitokea Standard Chartered Bank.
 
Thanks bro. Namkumbuka kutoka siku za East Africa FM.

Mshua siku moja alirudi home, alisema ametoka kukaa kikao na Jaji Bomani na Jaji Nyalali, aliwasifia sana kwa uwezo wao.

Tumepoteza mzee wa muhimu sana katika taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…