Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Feleshi anasubiri nini ofisini? Yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali katika mambo ya sheria! Suala la bandari limuondoe!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nashangaa Feleshi bado Yuko katika nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, aondoke, ameshindwa kuishauri serikali kuhusu mkataba wa Bandari.

Mama Samia, Anza na huyo, fukuza.
 
TANZANIA PORT AUTHORITY
BANDARI KUU YA TANZANIA. 😳😳😲😲🙌🙌🙌
 
Mtu kawa mwendesha mashaka mkuu wa Serikali, Jaji wa mahakama kuu na mwanasheria mkuu wa Serikali bado tu unafanya blunder.
 
Kabla hatujamuhukumu tumuulize alitoa ushauri gani kwa serekali
 
Kwa hiyo mwanasheria mkuu ndie alimwambia Samia kwasababu waarabu ni wajomba zako wape bandari?

Hujielewi.
 
Ule mkataba unaonyesha yeye hakuhusika.Ulishuhudiwa na mwingine na siyo AG.
 
Wazanzibar ni wapumbavu AG ni mkristo kwahio ni kafara kama ya Lowasa kwenye Richmond scandal
 


Halafu akishaondolewa kitafuata nini!!!???
 
Wanamtoa Feleshi,then wanamuweka Fatma Karume?
 
KWANZA kwa Ile Clip ya akina Mruma Feleshi alitakiwa kuwa amefukuzwa kazi au kama mimi ni yeye ningeshajiuzulu mapema..
Ofisi ya AG na Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ilikuaje zikaruhusu mtu ambae hana uwezo kwenda kwenye kesi kama Ile?? Je ni hujuma au deal la watu tupigwe?
Rais chukua hatua Fukuza kazi hao wote na wahojiwe zaidi tujue...
UNAENDA mahakamani unasema hujisikii vizuri?? Kwanini ulipoanza kuulizwa maswali ukawa hujui ndio uliposema Hujisikii???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…