Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Feleshi anasubiri nini ofisini? Yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali katika mambo ya sheria! Suala la bandari limuondoe!

KUNA tetesi AG Feleshi anatengenezewa mazingira kwamba hakushauri vizuri suala la mkataba kwa hiyo kuna kampeni za chini kwa chini za kutaka aondolewe kwenye nafasi yake.

Swali Je aliyesaini mkataba huo kwa jina lake na cheo chake mbona hazungumziwi? ambaye ni Mbarawa?
Wa kwetu atazungumzwaje?
 
Wakati fulani kiongozi wetu kwenye taasisi fulani alikuwa anatega tega mitego fulani ya hela, sasa mambo yakienda ndivyo sivyo hujitoa na kusema Wataalamu hawakunishauri vizuri.

Kwahiyo ule msamiati wa group accountability huwa hauko mdomoni mwake.

Kutokea hapo nimekuwa nashauri kulingana na Utaalamu, kwani hawa wenye mamlaka hawachelewi kukuuzia Kesi.

=======
Yale ya Richmond yanajirudia 🙌
 
KUNA tetesi AG Feleshi anatengenezewa mazingira kwamba hakushauri vizuri suala la mkataba kwa hiyo kuna kampeni za chini kwa chini za kutaka aondolewe kwenye nafasi yake.

Swali Je aliyesaini mkataba huo kwa jina lake na cheo chake mbona hazungumziwi? ambaye ni Mbarawa?

Scape goat
 
Presidente na Mbarawa wameamua kutema Ndoano, yani wameamua kurusha tauro Ulingoni.
 
KUNA tetesi AG Feleshi anatengenezewa mazingira kwamba hakushauri vizuri suala la mkataba kwa hiyo kuna kampeni za chini kwa chini za kutaka aondolewe kwenye nafasi yake.

Swali Je aliyesaini mkataba huo kwa jina lake na cheo chake mbona hazungumziwi? ambaye ni Mbarawa?
Afanye kama alivyofanya mwanasheria wa Zanzibar. Atangaze kujiuzulu kabla hajafukuzwa. Kwenye press ya kujiuzulu aseme wazi wazi kilicho transpire hadi mkataba ukasainiwa.
 
KUNA tetesi AG Feleshi anatengenezewa mazingira kwamba hakushauri vizuri suala la mkataba kwa hiyo kuna kampeni za chini kwa chini za kutaka aondolewe kwenye nafasi yake.

Swali Je aliyesaini mkataba huo kwa jina lake na cheo chake mbona hazungumziwi? ambaye ni Mbarawa?
... kwa hiyo wameshakubali kwamba mkataba ni mbovu hadi AG aondolewe?
 
KUNA tetesi AG Feleshi anatengenezewa mazingira kwamba hakushauri vizuri suala la mkataba kwa hiyo kuna kampeni za chini kwa chini za kutaka aondolewe kwenye nafasi yake.

Swali Je aliyesaini mkataba huo kwa jina lake na cheo chake mbona hazungumziwi? ambaye ni Mbarawa?
Ni sawa tu,acha waliolikoroga walinywee na kulimeza,ipo harufu ya kutengenezea na mazengwe kwa maslahi ya kisiasa ya pande tofauti,ukizingatia chaguzi/chafuzi haziko mbali🤸🤸🤸🤸.
 
Back
Top Bottom