Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Feleshi anasubiri nini ofisini? Yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali katika mambo ya sheria! Suala la bandari limuondoe!

Wa kwetu atazungumzwaje?
 
Wakati fulani kiongozi wetu kwenye taasisi fulani alikuwa anatega tega mitego fulani ya hela, sasa mambo yakienda ndivyo sivyo hujitoa na kusema Wataalamu hawakunishauri vizuri.

Kwahiyo ule msamiati wa group accountability huwa hauko mdomoni mwake.

Kutokea hapo nimekuwa nashauri kulingana na Utaalamu, kwani hawa wenye mamlaka hawachelewi kukuuzia Kesi.

=======
Yale ya Richmond yanajirudia 🙌
 

Scape goat
 
Presidente na Mbarawa wameamua kutema Ndoano, yani wameamua kurusha tauro Ulingoni.
 
Wazanzibar ni wapumbavu AG ni mkristo kwahio ni kafara kama ya Lowasa kwenye Richmond scandal
Aisee ebu Acha hizi dramas basi, MTU anahukumiwa kutokana na makosa yake na sio dini yake..
 
Afanye kama alivyofanya mwanasheria wa Zanzibar. Atangaze kujiuzulu kabla hajafukuzwa. Kwenye press ya kujiuzulu aseme wazi wazi kilicho transpire hadi mkataba ukasainiwa.
 
... kwa hiyo wameshakubali kwamba mkataba ni mbovu hadi AG aondolewe?
 
Ni sawa tu,acha waliolikoroga walinywee na kulimeza,ipo harufu ya kutengenezea na mazengwe kwa maslahi ya kisiasa ya pande tofauti,ukizingatia chaguzi/chafuzi haziko mbali🤸🤸🤸🤸.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…