Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Kenya Charles Njonjo leo atimiza umri wa miaka 101

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Kenya Charles Njonjo leo atimiza umri wa miaka 101

Sir Charles Mugane Njonjo alizaliwa Januari 23 1920 na alihudumu akiwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya kuanzia 1963 hadi 1979

Amewahi pia hudumu KK wenye nafasi ta Waziri wa Katiba kuanzia mwaka 1980 - 1983

Mwanasiasa huyo maarufu alijulikana pia kwa jina la "The Duke of Kabeteshire"

Charles Njonjo na kakaye James wanakadiriwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 3 za Kimarekani

Happy birthday Sir Charli Njonjo
 
Mzee bishoo sana huyo aloa mzungu kwa kua wanawake wa kiafrika alisema ni wasaliti na waongo
 
Mzungu amewaponya ndugu zako/zetu kwa ARVs, na sasa anakuletea Covac... mzungu amekufanya utume ulichokiandika hapa, mzungu kabla ya kugundua relation kati ya space na time usingelipata GPS na simu yako hiyo smart ingelikuwa historia, mzungu bila kugundua penicillin gonorrhea ingetumaliza wote.... kwa ufupi tu bado ndege, baiskeli, ......
Huyu nae alizaliwa na mama mazungu?
Huu ni upumbavu kumtukuza mzungu. 'It's bloodily fool'
 
Mzungu amewaponya ndugu zako/zetu kwa ARVs, na sasa anakuletea Covac... mzungu amekufanya utume ulichokiandika hapa, mzungu kabla ya kugundua relation kati ya space na time usingelipata GPS na simu yako hiyo smart ingelikuwa historia, mzungu bila kugundua penicillin gonorrhea ingetumaliza wote.... kwa ufupi tu bado ndege, baiskeli, ......
hauko mbali kusema bila mzungu ungekuwa nyani.
 
Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Kenya Charles Njonjo leo atimiza umri wa miaka 101

Sir Charles Mugane Njonjo alizaliwa Januari 23 1920 na alihudumu akiwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya kuanzia 1963 hadi 1979

Amewahi pia hudumu KK wenye nafasi ta Waziri wa Katiba kuanzia mwaka 1980 - 1983

Mwanasiasa huyo maarufu alijulikana pia kwa jina la "The Duke of Kabeteshire"

Charles Njonjo na kakaye James wanakadiriwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 3 za Kimarekani

Happy birthday Sir Charli Njonjo

One of the well known brainwashed Afrikan elites. Anyway ameishi muda mrefu.
 
Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Kenya Charles Njonjo leo atimiza umri wa miaka 101

Sir Charles Mugane Njonjo alizaliwa Januari 23 1920 na alihudumu akiwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya kuanzia 1963 hadi 1979

Amewahi pia hudumu KK wenye nafasi ta Waziri wa Katiba kuanzia mwaka 1980 - 1983

Mwanasiasa huyo maarufu alijulikana pia kwa jina la "The Duke of Kabeteshire"

Charles Njonjo na kakaye James wanakadiriwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 3 za Kimarekani

Happy birthday Sir Charli Njonjo

Mmeshindwa kumpiga picha akiwa na umri wa miaka 101?
 
Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Kenya Charles Njonjo leo atimiza umri wa miaka 101

Sir Charles Mugane Njonjo alizaliwa Januari 23 1920 na alihudumu akiwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya kuanzia 1963 hadi 1979

Amewahi pia hudumu KK wenye nafasi ta Waziri wa Katiba kuanzia mwaka 1980 - 1983

Mwanasiasa huyo maarufu alijulikana pia kwa jina la "The Duke of Kabeteshire"

Charles Njonjo na kakaye James wanakadiriwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 3 za Kimarekani

Happy birthday Sir Charli Njonjo
Huyu ndio mojawapo ya yale majizi yalioiba mali za Afrika Mashariki.
 
broo,, hakuiba. aliwaona mumekaa kama aina flani ya misukule hivi, musiojielewa wala kujitambua na kwamba itawachukua muda mrefu sana kuwa na akili. aliitendea Kenya haki kabisa la sivyo Kenya haingekua na tofauti yoyote na majirani zake wasojielewa.
mwamba ni bonge la genius!
 
Naona watanzania wanatokwa na povu sana. Anyway huyu jamaa alikuwa one of the first black people to study Law in London and became a practising barrister in the UK admited to the bar in London miaka ya zamani sana hata kabla ya Kenya kupata Uhuru. Ni mtu amesoma sana akawa one of the first lawyers in kenya aliporudi kutoka UK. Alikuwa anapenda kuvaa suti nyeusi yenye mistari nyeupe aliyoagiza kutoka Uingereza. Suti zake zote ziliagizwa kutoka Uingereza. Hata mke alioa mzungu. One of the most brain-washed people around. Halafu jambo lingine ni kuwa alikuwa bachelor kwa miaka nyingi na alioa akiwa mzee. Nadhani alioa akiwa na miaka 40 au 50. Halafu akazaa mtoto mmoja tu wa kike na kufunga hio chapter ya kuzaa. Mtoto mwenyewe mama yake alikuwa ni mzungu. Msichana mwenyewe naye akaowa mvulana mzungu. Hawa ndio wale Aristocrats wa Kenya. Yaani top cream of the society. Sijashangaa kwamba amefika miaka 101 maana pesa ipo hata ya kwenda mwezini au Jupiter kupata matibabu na kurudi. Lakini sisi wengine wa tabaka la chini au wastani hata kufikisha miaka 70 ni mtihani haswa magonjwa kama TB na marasmus yakitupumulia shingoni, kufikisha miaka hizo itakuwa mtihani sana.

ichoboy01 Naton Jr The best Geza Ulole
 
Hongera zake ILA ni muhimu kukumbusha kwamba huyu jamaa alihusika sana na kuvunjika kwa Mara ya kwanza kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Happy birthday to him.

Ahsante
 
broo,, hakuiba. aliwaona mumekaa kama aina flani ya misukule hivi, musiojielewa wala kujitambua na kwamba itawachukua muda mrefu sana kuwa na akili. aliitendea Kenya haki kabisa la sivyo Kenya haingekua na tofauti yoyote na majirani zake wasojielewa.
mwamba ni bonge la genius!

Huyo jamaa si ndiye aliyewakandia maprof wa Nairobi Varsity kwamba hawajui Kiingereza, kisa tu kwakuwa yeye kaoa mzungu!!🤣

Jamaa ni country bump kweli, niliangalia katika youtube akihojiwa na Jeff koinange kizungu chake ni horrible.🤣
 
Huyu ndio mojawapo ya yale majizi yalioiba mali za Afrika Mashariki.
Mali za Afrika Mashariki? Yaani mseme mali yetu wakati nchi ya Kenya ndio mlikuwa mmeiachia mzigo wote mzito wa kulipa madeni yote ya mashirika ya jumuiya ya AM? Kutoka kwa shirika la ndege la E.A.A hadi EAPS(posta) ilikuwa ni mwendo wa Kenya kuwabeba wenzake.
Alihusika katika kuvunja jumuiya ya Afrika Mashariki
Tunamshukuru sana kwa juhudi zake hizo, aliinusuru nchi ya Kenya kutoka kwa unyonyaji hatari sana, mithili ya ule wa kupe.
 
broo,, hakuiba. aliwaona mumekaa kama aina flani ya misukule hivi, musiojielewa wala kujitambua na kwamba itawachukua muda mrefu sana kuwa na akili. aliitendea Kenya haki kabisa la sivyo Kenya haingekua na tofauti yoyote na majirani zake wasojielewa.
mwamba ni bonge la genius!
Kwenye suala la jumuiya ya Afrika Mashariki Njonjo alikuwa mzalendo kupindukia. Alipandwa na hamaki aliposikia kwamba miradi ya East African Postal Service(EAPS) ilikuwa inatekelezwa kwa ratio ya 1:5:10. Yaani wakijenga posta moja Kenya, wanajenga 5 Tz na 10 Uganda. Hapo ndipo kampeni yake yote ya kujiondoa kwenye jumuiya ilianza. Jamaa alikuwa genius kweli, maanake alifanikiwa kuwashawishi viongozi wote, hadi na bosi wake Mzee Jomo.
 
Naona watanzania wanatokwa na povu sana. Anyway huyu jamaa alikuwa one of the first black people to study Law in London and became a practising barrister in the UK admited to the bar in London miaka ya zamani sana hata kabla ya Kenya kupata Uhuru. Ni mtu amesoma sana akawa one of the first lawyers in kenya aliporudi kutoka UK. Alikuwa anapenda kuvaa suti nyeusi yenye mistari nyeupe aliyoagiza kutoka Uingereza. Suti zake zote ziliagizwa kutoka Uingereza. Hata mke alioa mzungu. One of the most brain-washed people around. Halafu jambo lingine ni kuwa alikuwa bachelor kwa miaka nyingi na alioa akiwa mzee. Nadhani alioa akiwa na miaka 40 au 50. Halafu akazaa mtoto mmoja tu wa kike na kufunga hio chapter ya kuzaa. Mtoto mwenyewe mama yake alikuwa ni mzungu. Msichana mwenyewe naye akaowa mvulana mzungu. Hawa ndio wale Aristocrats wa Kenya. Yaani top cream of the society. Sijashangaa kwamba amefika miaka 101 maana pesa ipo hata ya kwenda mwezini au Jupiter kupata matibabu na kurudi. Lakini sisi wengine wa tabaka la chini au wastani hata kufikisha miaka 70 ni mtihani haswa magonjwa kama TB na marasmus yakitupumulia shingoni, kufikisha miaka hizo itakuwa mtihani sana.

ichoboy01 Naton Jr The best Geza Ulole
Ninavyojua mimi Njonjo alisoma SA Fort Hare na inasemekana haku-graduate!
 
Back
Top Bottom