Nilisoma biography yake pale google, alioa ana miaka 52 kwa kulazimishwa na marehemu kenyetta jomo, kwa kumwambia cheo chake AG hakustahili kuwa bachelor. Aliipenda sana Kazi yake akadhani kuoa kungempunguzia ufanisi. Amezaa na yule mzungu watoto watatu. Hali red meat, anaendesha baiskeli km 12 hadi Leo kujiweka fit. Anakunywa via mbili kwa siku maisha yake yote. Ni vegetarian mzuri na nyama choma usimwambie. Anapenda na kulinda maisha yake hadi Leo. Akiwa mtoto alikuwa anaenda shuleni anaendesha farasi imagine colonial times. Baba alimlea maisha ya kizungu. Hata wapigania Uhuru Wa Kenya hakupenda wasamehewe makosa ya uhaini. East Africa ilipovunjika alisherehekea na kutamka it was his happiest day in his life. Hiyo ndio Njonjo mkenya alieishi na kuzaliwa Africa lakini maisha ya kiafrica hayajui tangu azaliwe. Alifall from grace na Moi pale alipohusishwa na jaribio LA mapinduzi LA kumtoa Moi 1982. Kwa ujanja Wa kupenda na kuthamini uhai wake hajawahi gombea wala kuwa kwenye circles za public service .Anakula Mali take aliyochuma kabla ya tukio lile. Anasadikiwa kuwa na utajiri Wa dola Milioni 10 za Marekani na vitega uchumi kadhaa. Moi alimsanehe kwa kuwa alinsaidia 1978 kumrithi kenytta wakati wakikuyu walipotaka kuziba nafasi ya Moi kuchukua nchi. He was very powerful by then alisimmama kidedea na kuhakikisha Moi makamu anamrithi Kenyatta , akazuia wakikuy kucheza na katiba. liichukia EAC kwa sababu alikuwa amenunua ndege aanzishe shirika lake E.A.A ikamwekea kauzibe. Hiyo ndjyo a
k.a prince of kabeteshire. Kabete itakuwa ni Mtaa Wa washua huko Nairobi na yawrzekana anaishi huko.
Sent from my TECNO-J5 using
JamiiForums mobile app