msemakweli 1
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 290
- 68
Mungu amesikia kilio chetu, nazidi kuomba " Eeee, Mungu muumba wa mbingu na nchi sikia kilio chetu bunge hili lililo tupa maadili na uwajibikaji na livunjike vunjike bila kuelwana, Mungu wewe ni wa maadili embu ona wametoa tunu za taifa sasa wameweka mambo ya siasa, bora uwaharibie usemi wasielewane."Zanzibar kumekucha , Othman Makungu kaamua kuwaeleza ukweli Mbulula wa CCM ......
Zanzibar kumekucha , Othman Makungu kaamua kuwaeleza ukweli Mbulula wa CCM ......
kama alisema wawili namba imeongezeka itabidi aanze upya.waka huu 6 lazima alazwe hospitalini. Wakuda wa CCM wamemmaliza.kasha waiba wabunge wa cuf kupitia hamadi rashid
Wazanzibari wote waliosema NDIYO wamenishanagza sana........
Dah! Mambo mengine ni magumu sana kuyaelewa, huyu ndiye mshauri mkuu wa sheria wa rais na serikali ya znz. Nauliza tu kwa anaejua, kauli yake si ndiyo kauli ya serikali ya znz?
Ndugu Safari_ni_Safari huyu mwanasheria mkuu na kura yake kwa mtazamo wangu ni kama kura ya Wazanzibari Wote.
Dah! Mambo mengine ni magumu sana kuyaelewa, huyu ndiye mshauri mkuu wa sheria wa rais na serikali ya znz. Nauliza tu kwa anaejua, kauli yake si ndiyo kauli ya serikali ya znz?
Nani anajua Mwanasheria huyo kakataa ibara zipi
Hapana mkuu kwenye bunge maalumu la katiba hawapigi kura kwa vyeo vyao bali wote ni wajumbe wa kawaida wa bunge hilo. Kwa hiyo kura yake ni yake binafsi kama yeye.