Mwanasheria Mkuu: Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu waliapishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba, CHADEMA isiwaguse

Hakuna MTU mkubwa kuliko taasisi...
Ulicho elewa ni kwamba , umekariri taasisi zingine mifumo imefanya watu kuwa wakubwa kuliko chama , mfano mzuri ni MEMBE tizama ukubwa alionao lakini angalia impact uliyo iacha baada ya kuondoka ccm =o , lakini tizama chadema sasa hivi
 
Marahii mwanasheria wa serikali kawa mwanachadema , kawa mwanasheria wa Chadema .We Pimbi mnahangaika bure na sarakasi zenu Dona kantri , watoa tilioni mbili wanaona Kila kitu hawayotoa hela .
 
C katokea pale jalalan au???
AG amejuaje nini Chadema watawafanya hao wtuhumiwa mpaka atoe tamko leo!? vipi je wasipowafanya lolote. Aiseee akili za kutumwa changanya zako..Hivi huyu ni Prof. Kweli?
 
Hivi mbingu ipo kweli? Maana hawa hawa viongozi wa serikali unaowaona nyumba za ibada lakini kauli zao hata mtoto mdogo hawezi kuzungumza
 
Inaniwia vigumu sana kuamini kuwa tuna watu kwenye nafasi nyeti za uongozi nchini wenye matatizo ya kufikiri sawa sawa.Matamko yote ni ishara ya "udhaifu".Tujipe pole kwa kuongozwa na imbeciles!
 
Hv hata Kama ni kupenda vya ndani nadhani ni vile vnavyojitambua na sio kujaza propaganda za kijinga kama gazeti tajwa full kichefuchefu nyoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…