Mwanasheria Msomi Jebra Kambore

Mwanasheria Msomi Jebra Kambore

Joined
Sep 7, 2018
Posts
94
Reaction score
30
Wanajamiiiii habarini

kama heading inavosema,nilipenda kumjua uyu bwana jebra kambore kwa undani kama mwanasheria.Nilipenda kujua nilipi haswa ameishalifanya kama mwanasheria ambalo lilimfanya yeye kuwa maarufu sana na watu kumkubali sana
ASANTENI!
 
Respect brother
Mtetezi wa max melo... Ktk kesi inayo mkabili... Mtetezi wa Roma mktoriki na watu wengi maarufu na wasio maarufu... Ukitaka mawasiliano mcheki melo atakusaidia... Na atakujuza mengi kumuusu jebra...

Uwe na muda mwema
 
Yupo desperate sana..anaonekana anahangaiikaga kwenye vyombo vya habari sana it's like he is searching for fame ila tatizo hana nyota.....

Pia hayupo fit kiivo ktk sheria...ila i admire his courage!
 
Back
Top Bottom