Mwanasheria nchini Nigeria ataka maandishi ya kiarabu kwenye fedha yaondolewe

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Fedha zenye maandishi ya Kiarabu

Mahakama mjini Lagos Nigeria inatarajia kusikiliza kesi iliyofunguliwa na mwanasheria dhidi ya Benki Kuu ya Nigeria akitaka kuondolewa kwa maandishi ya kiarabu kwenye fedha za nchi hiyo.

Malcolm Omirhobo pia anataka jeshi la Nigeria kuondoa maandishi kutoka kwenye nembo ya jeshi yanayoashiria kuwa Nigeria ni nchi ya Kiislamu, kinyume na katiba ya nchi hiyo kuwa ni taifa lisilofungamana na dini yoyote.

Mwanasheria huyo anataka maandishi hayo yawekwe kwa lugha ya Kiingereza au kwa lugha yoyote miongoni mwa lugha tatu zinazotumika nchini humo –Hausa, Yoruba au Igbo. Hatahivyo, Benki Kuu imekana kuwa maandishi hayo ni ishara ya Uislamu.

Watu wengi nchini humo, hasa eneo la Kaskazini, huongea Kiarabu. Hata hivyo Kiingereza ni lugha kuu ya mawasiliano nchini humo.
 
Africa hata tufanye nini tubinuke juu chini au tuote mbawa bado tutakoloniwa tu.

Tanzania ilijifanya ina kiswahili lakini kazi zote za kiserikali zinafanywa kwa kiingereza Neo colonialism tayari, yaani Africa ni utopolo mtupu.
 
Kwahiyo ulitaka tuiepuke kabisa lugha ya kiingereza?
 
Uzi wako usije ukamhamasisha bwana mkubwa nae abadilishe maneno yalioandikwa kwenye hela zetu kwa lugha za kibeberu, ayaweke kwa lugha ya kanda ya ziwa.
 
Jamaa hataki kiarabu anaona bora kiingereza.
Atakuwa ni mfuasi wa dini fulani mwenye msimamo mkali na anayejaribu kupingana na historia.Kiarabu kimeingia zamani kuliko Kiengerezai na watu wengi nchini Nigeria wanafahamu kiarabu sasa kosa liko wapi baadhi ya herufi za kiarabu kuonekana kwenye fedha na hata jeshini.Zaidi ya hivyo maandishi ya kiarabu yanapendeza sana hata kuyaangalia nakuliko kiiengereza.Yana sifa ya pambo la macho. Hata maandishi ya kiamharic ya Ethiopia na yale ya Burma ni mazuri sana kuliko kiengereza lakini kiarabu kinavutia zaidi.
Ziko nchi ambazo hazina waislamu hata 2% lakini wameyakubali mapambo ya kiislamu.Iweje kwa Nigeria iwe ni hofu.
 
Uhuru tuliopewa hata sijui ni upi huwa nashindwa kuelewa kabisa.
 
Katumwana mabeberu ya kizungu huyo.
Yaani kachukia lugha?!
Anataka kidhungu?atakuwa rainbow huyo
 
Atakuwa ni mfuasi wa dini fulani mwenye msimamo mkali na anayejaribu kupingana na historia.Kiarabu kimeingia zamani kuliko Kiswahili na watu wengi nchini Nigeria wanafahamu kiarabu sasa kosa liko wapi baadhi ya herufi za kiarabu kuonekana kwenye fedha na hata jeshini.Zaidi ya hivyo maandishi ya kiarabu yanapendeza sana hata kuyaangalia nakuliko kiiengereza.Yana sifa ya pambo la macho. Hata maandishi ya kiamharic ya Ethiopia na yale ya Burma ni mazuri sana kuliko kiengereza lakini kiarabu kinavutia zaidi.
Ziko nchi ambazo hazina waislamu hata 2% lakini wameyakubali mapambo ya kiislamu.Iweje kwa Nigeria iwe ni hofu.

DIVIDEND Imemgusa kwelikweli,,,,huwa nawapenda wa hivyo. Endelea kutiririka chief mpaka waache kuwatumikia hao wamagharibi.
 
View attachment 1623269

Mahakama mjini Lagos Nigeria inatarajia kusikiliza kesi iliyofunguliwa na mwanasheria dhidi ya Benki Kuu ya Nigeria akitaka kuondolewa kwa maandishi ya kiarabu kwenye fedha za nchi hiyo.

Malcolm Omirhobo pia anataka jeshi la Nigeria kuondoa maandishi kutoka kwenye nembo ya jeshi yanayoashiria kuwa Nigeria ni nchi ya Kiislamu, kinyume na katiba ya nchi hiyo kuwa ni taifa lisilofungamana na dini yoyote.

Mwanasheria huyo anataka maandishi hayo yawekwe kwa lugha ya Kiingereza au kwa lugha yoyote miongoni mwa lugha tatu zinazotumika nchini humo –Hausa, Yoruba au Igbo. Hatahivyo, Benki Kuu imekana kuwa maandishi hayo ni ishara ya Uislamu.

Watu wengi nchini humo, hasa eneo la Kaskazini, huongea Kiarabu. Hata hivyo Kiingereza ni lugha kuu ya mawasiliano nchini humo.
Mambo mengine ni ya ajabu sana, huwezi kusikia wanalalmika maandishi ya Kingereza wala Kifaransa. Kiarabu si lugha tu kama lugha nyingine au ni Aya ya Quran?
 
Muhimu ni lugha iliyojitosheleza na iliyokua msingi wa kuleta maendeleo na inayoendelea kushilikia maendeleo na hapa hakuna ubishi ni Kingereza, muhimu maendelea yanasababishwa na Viongozi wakuu wa Nchi, wakiamua nchi iwe maskini ni siku moja tu inakua hivyo na wakiamua iwe Tajiri hata Mwaka hauishi inakua Tajari.
 
Mambo mengine ni ya ajabu sana, huwezi kusikia wanalalmika maandishi ya Kingereza wala Kifaransa. Kiarabu si lugha tu kama lugha nyingine au ni Aya ya Quran?

kingereza ni lugha ya mataifa ya business!
nchi zote zinawasiliana sasa kiarabu ni kwa ajili ya nn kama si utumwa.

Ingawa kingereza nacho kilitumiwa kama lugha ya kikoloni lakin leo kina status tofaut
 
Back
Top Bottom