REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Ngoja aje wakili P, mi nasubiriNgoja waje wanaopenda kufanya PRO BONO watakusaidia.
Vitu ambavo vinaweza kubatilisha mkataba mkuu kwa haraka haraka ni kama vifuatayo;Naomba kujua hivi sheria inasemaje pale mtu anakuletea mkataba ambao anasema umeusign wewe ukiangalia mwandiko na sign vinafanana kabisa na wako pia kaattach na copy za ID original zako akidai wewe ndie ulisign lakini kiuhalisia ukusign wewe ni uhuni umefanyika tu kufanya uonekane ni wewe
Je ushahidi upi unaitajika kuomba ili kuthibitisha ni Mimi kweli nilisign si kama amefodge
nimekupata mkuuTuanze hapa.
hizo copy za id original zilikuwa certified?
Si unajua copy zinakuwaga certified kama ni copy ya original na kamishna wa viapo/wakili.
Sasa kama hazijawa certified tumia utetezi huo kuwa copy walizoleta jambo zinafanana na vitambulisho vyako hazijawa certified na kama kama zilikuwa certified aje kutoa ushahidi huyo aliyecertify copy hizo
hizi zote haziingii kabisa maana huo mkataba yeye hajausaini kabisa na wala hajui vitambulisho vimetoka wapi japokuwa ni copy original ya vitambulisho vyake.Vitu ambavo vinaweza kubatilisha mkataba mkuu kwa haraka haraka ni kama vifuatayo;
1) Misrepresentation - hapa ukiweza kuithibitishia mahakama kua pande moja haikua wazi/mkweli juu ya jambo la kimkataba. Either kwa kizembe au kwa makusudi. Kwa njia moja au nyingine.
2) Mistake - Pindi pande moja au zote hazikuelewa au lilifanya kosa/jambo fulani la kimkataba.
3) Duress - Mmoja alitumia nguvu kumlazimisha mwingine kuingia mkataba huo.
4) Undue Influence - Pande moja ilitumia vishawishi kumlaghai pande ya pili kuingia mkataba, kama vile kutumia ulevi, dawa za kuondoa akili na kadhalika.
5) Illegality - Uharamu wa mkataba, kua mkataba unalazimu pande moja kufanya jambo lisilo la kisheria.
Hayo maelekezo ni ya haraka haraka tu. Ni vyema ukipata ushauri wa mwanasheria unaemfahamu.
I stand to be corrected learned brothers and sisters..
Kama kuna sign yake wameifoji basi lazima hio MISREPRESENTATION inahusika, katika misrepresentation kuna swala linaitwa FRAUDULENT MISREPRESENTATION... kwamba wamedhamiria kulifanya hilo swala la kufoji sign bila idhini yake... pia kama atafanikiwa kuuvunja anaweza kuwaanzishia kesi ya jinai juu la hilo swala la kufoji sign/nyarakahizi zote haziingii kabisa maana huo mkataba yeye hajausaini kabisa na wala hajui vitambulisho vimetoka wapi japokuwa ni copy original ya vitambulisho vyake.
misrepresentation ni kama mtu akudanganye ana AB au kuna AB wakati ana XX au YY..Kama kuna sign yake wameifoji basi lazima hio MISREPRESENTATION inahusika, katika misrepresentation kuna swala linaitwa FRAUDULENT MISREPRESENTATION... kwamba wamedhamiria kulifanya hilo swala la kufoji sign bila idhini yake... pia kama atafanikiwa kuuvunja anaweza kuwaanzishia kesi ya jinai juu la hilo swala la kufoji sign/nyaraka
Yeye hana uwezo wa kuwaanzishia jinai, adai tu damagesKama kuna sign yake wameifoji basi lazima hio MISREPRESENTATION inahusika, katika misrepresentation kuna swala linaitwa FRAUDULENT MISREPRESENTATION... kwamba wamedhamiria kulifanya hilo swala la kufoji sign bila idhini yake... pia kama atafanikiwa kuuvunja anaweza kuwaanzishia kesi ya jinai juu la hilo swala la kufoji sign/nyaraka
Kuforge nyaraka au sahihi ya mtu sio kosa la jinai?Yeye hana uwezo wa kuwaanzishia jinai, adai tu damages
anaweza kwenda polisi, ndipo polisi watapeleka suala mbeleYeye hana uwezo wa kuwaanzishia jinai, adai tu damages
Not my deed,with evidence as per Contract Act cap.345 ,2002 RE and TEA 1967 will applyNon est factum principle.
Teh teh teh ..........nothing goes nothingNgoja waje wanaopenda kufanya PRO BONO watakusaidia.