Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
CCM endeleeni tu kujitoa ufahamu humu. Huu ndo ushahidi ambao wenzenu wanaukusanya. Yani mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe.Ujinga mtupu bado akifika ana kesi za kujibu anafikiri nchi hii ni ya mama yake tunataka apewe fundisho ambalo mwingine hatathubutu kurudia mm naona hata magolori Yale yalimstahili jitu saliti sn
Acha chuki binafsi mkuu. Kosa la Lisu ni lipi hata akastahili kudhambuliwa? Au unafuata mkumbo? Hapa ni JF siyo Lumumba.Ujinga mtupu bado akifika ana kesi za kujibu anafikiri nchi hii ni ya mama yake tunataka apewe fundisho ambalo mwingine hatathubutu kurudia mm naona hata magolori Yale yalimstahili jitu saliti
Mkuu haki ya mtu haipotei, ni muda tuNi wakati tu; lakini jamaa anajisumbua.
Dogo punguza munkari, yapo mengi usiyoyajua,mabwana zako wanakutuma uje kuharisha hapaUjinga mtupu bado akifika ana kesi za kujibu anafikiri nchi hii ni ya mama yake tunataka apewe fundisho ambalo mwingine hatathubutu kurudia mm naona hata magolori Yale yalimstahili jitu saliti
Ni wakati tu; lakini jamaa anajisumbua.
Itapendeza zaidiHuyu Mzungu wa Lisu akitoa hiyo riport ya Shambulio. Namshauri aachie na Video nzima ya wasiojulikana. Pia tuwaone tangu wanapopokea maagizo toka kwa aliyewatuma.
We si vuvuzela tuu? Hao mabwana zako ndio wanahaha wanajua kuna kunyea debe kunakuja kama sio kesho basi keshokutwa.Ujinga mtupu bado akifika ana kesi za kujibu anafikiri nchi hii ni ya mama yake tunataka apewe fundisho ambalo mwingine hatathubutu kurudia mm naona hata magolori Yale yalimstahili jitu saliti
Gazeti la "theafricareport"limechapisha habari(0nline) kuhusu mahojiano waliyofanya na Tundu Lissu, ambapo Lissu kaongea mambo kadhaa kuhusu utawala huu wa awamu ya tano na azima yake ya kurudi nyumbani.
Gazeti hilo pia linaonekana kufanya mahojiano na mwanasheria wa Tundu Lissu na yafuatayo ni maelezo ya mwanasheria huyo juu ya shambulio la Lissu na usalama wake ataporejea nyumbani:
=====
The Tanzanian opposition leader Tundu Lissu is heading home after three years of exile.
He will be arriving in Dar es Salaam on 28 July, hoping to run for the presidency on the Chadema party ticket in October elections.
“President Magufuli does not believe in the rule of law or democracy”, Lissu told The Africa Report’s podcast, Talking Africa.
“[Magufuli] has said on a number of occasions publicly that he would like to see Tanzania reverting back to the dark days of one party rule”, says Lissu, “and he has done a lot to see that vision come to fruition”.
Which can be illustrated, Lissu adds, by the fact that he has been in exile for the last three years.
“It’s not a matter of having a thin skin for criticism”, says Lissu speaking to President Magufuli’s reluctance to countenance debate. “He doesn’t have any skin at all”.
Instead, all criticism is met with repression, he says.
He should know.
In 2017, gunmen sprayed 30 rounds into his car, leaving him close to death
Robert Amsterdam, Lissu’s lawyer, says they are investigating the attempted assassination.
The probe has “turned up people with information, and at the appropriate time we will release what information we have established”, says Amsterdam.
“And we certainly want to let all those in Tanzania that the world will be watching upon his return”, adds Amsterdam, who says he is writing a formal memo to Tanzanian authorities, “putting them on notice that their behaviour will be scrutinised not only by the judiciary in Tanzania but by international fora outside Tanzania.”
Amsterdam, whose firm was behind the extraction of Bobi Wine at the height of opposition repression in Uganda, believes that turning to Washington is no longer the answer.
Instead, he believes the increased influence of the European Union and Asia, and the growth of communications technology, has changed the game opposition leaders in East Africa.
Despite pronouncements from the World Bank that Tanzania will reach middle income status five years early, Lissu says the World Bank is ‘credulous’ in accepting the statistics.
Lissu is trying to put together a national opposition alliance, including the Zanzibari nationalists, disputing attempts to characterise them as Islamist in motivation.
He warns that if Tanzania is allowed to slide into chaos, as he predicts under Magufuli, then it will rob the region of the country’s traditional ‘shock-absorber’. The country often provides shelter for refugees fleeing internal violence.
Lissu is also skeptical of President Magufuli’s ‘war on corruption’, saying it is just way of raising cash. “It’s a mafia shakedown”, he says.
Source: The Africa Report
Maswali haya yanaonyesha ulivyo poyoyo kichwani mwakoMimi naomba katika uchunguzi wao wasisahau kutujibu maswali mawili tu, mengine yatafuata,
1.Kwanini eneo la tukio haikukutwa damu ata kidogo na nguo alizoshika dereva zilikuwa zina kiwango kidogo cha damu kulinganisha na idadi ya risasi na maumivu yanayoelezwa?
2. Kwanini risasi zitokee kushoto alafu yeye aumie mguu wa kulia?
Nitaridhika iwapo walijibu hayo maswali kwa ufasaha kabisa
Dogo umechanganyikiwa na mtachanganyikiwa Sana kabla octoberUjinga mtupu bado akifika ana kesi za kujibu anafikiri nchi hii ni ya mama yake tunataka apewe fundisho ambalo mwingine hatathubutu kurudia mm naona hata magolori Yale yalimstahili jitu saliti
Jinga we kwahiyo damu ilienda wapi?Mimi naomba katika uchunguzi wao wasisahau kutujibu maswali mawili tu, mengine yatafuata,
1.Kwanini eneo la tukio haikukutwa damu ata kidogo na nguo alizoshika dereva zilikuwa zina kiwango kidogo cha damu kulinganisha na idadi ya risasi na maumivu yanayoelezwa?
2. Kwanini risasi zitokee kushoto alafu yeye aumie mguu wa kulia?
Nitaridhika iwapo walijibu hayo maswali kwa ufasaha kabisa
Alitandikwa Kisawasawa na Vijana wa Kazi wa Mfalme Suleiman Kani aka MbwZile SILAHA ZA KIVITA zinamilikiwa na mamlaka gani hapa nchini? Halafu Serikali hii inayopenda sifa isimchukulie hatua yeyote ile hadi sasa? Wewe UVCCM hebu muwe mnaongea huo upuuzi na familia zenu huko.
Unataka niandike mchele?Na uzee wote bado unaandika pumba humu
Unataka niandike mchele?
Kila kitu.Umeelewa kilichoandikwa au umeelewa headline tu
Nania alikuambia ni mpuuzi?Wajukuu watajifunza nini kama babu ni mpuuzi
Kwani lazima?Husemi anajisumbua kivipi