Mwanasheria wa kimataifa wa Lissu, Robert Amsterdam, asema wanaendelea na uchunguzi wa tukio la Lissu kushambuliwa na watatoa taarifa ya uchunguzi huo

Akitua Bongo tu akatoe maelezo ya tukio lililomtokea.

Askari alifunzika hawezi kukosa target risasi 30 zikamkosa mtu tena mbali wenyewe chini ya mita30

Risasi 30 zikiingia mwili mwako kiunoni n ama unakufa au unakatwa kimo

Maajabu ya Dunia Risasi 30 zimemruka Dereva zikampata Lisu .Dereva aje atoe maelezo

Acheni drama za kujinga mwisho wa siku kuna familia zinateseka .Hii Drama imefeli
 
Kweli wee ngapulila
 
Mgombea urais kupitia Chadema ni BM kwa ridhaa ya ACT!!
====
Hii ndiyo raha ya JF.
 
Una akili sn wanaamini Urais watapewa na wazungu wakati wanajua hao hao wazungu tuliwafurusha wakatuachia Tanganyika yako mwanasheria mwenyewe mhuni mhuni tu wawaulize Barrick mafundi wa fitina Duniani lkn kwa Magufuli walipiga magoti sembuse kizungu kimachinga cha ubeligiji kifanya kazi cha mgahawa Tundu lisu watamtumia nyuma mpaka wamudhoofishe tu maana ni masikini wa kutupwa kwa ubeligiji hadhi yake hailingani hata na ya mzibua mavi ya chooni
 
Kwa akili yako ndogo unaamini kuwa Barrick wamesalimu kwa JMT? Loh! Wewe inaonekana upo kwenye Ulimwengu wa wajinga hasa!

Ama kweli kuongoza wajinga kuna raha yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako ndogo unaamini kuwa Barrick wamesalimu kwa JMT? Loh! Wewe inaonekana upo kwenye Ulimwengu wa wajinga hasa!

Ama kweli kuongoza wajinga kuna raha yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Dollar million 100 tulizolipwa ni Mali ya baba yako eeh ?;: hamuijui vizuri hii nchi nyie wabwekaji nchi ina watu million 50+ mmoja msaliti akiondolewa kwa ajili ya kunusuru wengi shida haipo kwa hiyo Litundu mdanganyeni tu aingie kwenye 18 za nguvu ya dolla awafanyie ujinga huo mabwana zake kama watamvumilia
 
Kwa akili yako ndogo unaamini kuwa Barrick wamesalimu kwa JMT? Loh! Wewe inaonekana upo kwenye Ulimwengu wa wajinga hasa!

Ama kweli kuongoza wajinga kuna raha yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamua kuyatoa maisha yangu sadaka kwa ajili ya kuwapigania watanzania ikibidi hata nife. Maisha yangu hayatakuwa na thamani kama Rais kwa kuona watanzania wakifa kwa kukosa dawa hospitali, watoto wa masikini wakikosa elimu, hali ya usafiri ikiwa mbaya, halafu mimi niwe sehemu ya wanaoshiriki kuhujumu taifa hili kwa kufukuzana na machinga barabarani huku tukiacha kukusanya kodi kwa wanaokwepa kulipa kodi ya serikali. Nimeamua nchi iende na atakayejaribu kutukwamisha, atakwama yeye mwenyewe Rais Magufuli
 
Wish things become true so soon.Many the likes of Bashir to be arraigned and made answerable is the dream of all peace loving lot!
 
Salary Slip,
Ngoma bado mbichi hii saga haijaisha aisee na naamini hata baada ya utawala huu kuondoka/kuondolewa hili kaburi itapasa lifukuliwe Nani alitaka kumuuwa Lissu na kwanini?
Naona mswada wa kinga uliopitishwa harakaharaka bungeni ilikuwa ni kujihami na majanga kama haya. "Is it sustainable?"
 
Sheria waliziweka wao kama wanadamu ziwàkinge na watakaoziondoa ni wanadamu hao hao ili ziwahukumu.

Funzo.

Usitegemee ya mwanadamu hayadumu mtegemee mungu pekee.
 
Kwahiyo walifanya mchezo wa kujipiga risasi lisu na dreva wake halafu wakaenda CCTV camera zipizorekodi drama zao halafu earlier walipangua zamu za maaskari wa serikali getini yàni mchongo wote huu ulifanywa na lisu na dreva wake
 
Sema tu mission iligoma!
Risasi upigwe kushoto, matobo yawe upande wa Julia?!
Hao wanasheria wanakula vihela vyake tu
Yeye arudi, ataeleza vizuri, tena arudi na dereva wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…