Mwanasheria wa Okrah sasa kumsaidia Baleke kuidai Yanga hela zake FIFA

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
“Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa.

“Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa fedha zake. Kama Baleke hayupo salama ni nani yupo salama?

“Unaposikia hivi sasa tumefanikiwa kumpata Mwanasheria wa Augustin (Okrah) ambaye ametusaidia kwa kiasi kikubwa na kesi sasa ipo Fifa.”

-Meneja wa Baleke
 
Yanga bwana ukikuta wanamsifia raisi wao napata wasi wasi na utendaji kazi wake Morocco
 
“Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa.

“Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa fedha zake. Kama Baleke hayupo salama ni nani yupo salama?

“Unaposikia hivi sasa tumefanikiwa kumpata Mwanasheria wa Augustin (Okrah) ambaye ametusaidia kwa kiasi kikubwa na kesi sasa ipo Fifa.”

-Meneja wa Baleke
Asante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom