Mwanasheria wa P Diddy afichua sababu za rapa huyo kutunza chupa 1000 za mafuta nyumbani kwake

Mbaga Jr unaambiwa Diddy alianza kutaka kujenga urafiki na Messi ila Messi akamwepea mbali kabisaaa 🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Wee bwana dimondi wee na mkubwa fela ndo mlienda kwenye hili jumba lenye vilainishi
 
Halafu mtoto wa tandale na meneja wake wanasema walitoka salama aaaah hii siamini kwakwel🤣🤣🤣 wamarekani wenyewe wahuni wanamuogopa diddy sembuse mtoto wa Tandale🤣🤣🤣 ndo maana kale ka interview kake alipotoka marekani alikua anajiumauma sana kuelezea matukio ya kwa pdidy🤣🤣🤣

View: https://youtu.be/ZBfYybLPczA?si=9YDr_Ar4G1_-JFLi
 
Messi mwenyewe alikuwa anaviziwa, akatonywa mapemaaa 🤣🤣 Diddy alikuwa hana mchezo mchezo mkurugenzi wa CIA chupu chupu kipindi Diddy kaenda onana na Obama.. huyu mtu level ingine
 
Messi mwenyewe alikuwa anaviziwa, akatonywa mapemaaa 🤣🤣 Diddy alikuwa hana mchezo mchezo mkurugenzi wa CIA chupu chupu kipindi Diddy kaenda onana na Obama.. huyu mtu level ingine
Kachanjia ndele makalio ya walio karibu nae yalikua hatarini kabisa☻☻mtoto wa tandale anasema anataka kua tajiri wa kwanza kumbe kupitia pesa za pdidi
 
Sheria ndo wakati mwingine imekaa kijinga ndo maana kuna mazingira busara za jaji lazima zitumike maana hapo wakili akiuliza ni kinyume cha sheria kumwaga mafuta uliyonunua mwenyewe? Jibu ni hapana, Sasa didy aliyamwaga.
Sheria tamu Sana ukifuatilia mawakili mahili wakioneshana ubabe, aisee kumtia hatiani bila kuacha shaka Ni Kazi ngumu Sana mahakamani.

Ndo maana mafisadi kuwafunga Kazi Sana, wanawaajili mawakili mahili sana
 
Reactions: Tsh

Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…