ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 3,944
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba wa mpira ingekula kwake 😂Mbaga Jr unaambiwa Diddy alianza kutaka kujenga urafiki na Messi ila Messi akamwepea mbali kabisaaa 🤣🤣🤣
View attachment 3109365
Itakuwa ndomUkiachilia mbali mafuta, vitu gani vingine ananunua "in bulk" na vilikutwa vingi nyumbani kwake?
Jamaa hili linatisha, mguuni hiyo kweli sio chupa na upako 🤣🤭Mwamba wa mpira ingekula kwake 😂
Unaambiwa hapo n baada ya kumnyandua Mond 😂Jamaa hili linatisha, mguuni hiyo kweli sio chupa na upako 🤣🤭
View attachment 3109613
Wee bwana dimondi wee na mkubwa fela ndo mlienda kwenye hili jumba lenye vilainishiWakati dunia ikiwa busy kujiuliza kwanini P Diddy alikutwa na chupa takriban 1000 za mafuta ya watoto kipindi anakamatwa na FBI, mwanasheria wa msanii huyo amejitokeza hivi karibuni kujibu tuhuma hizo.
Akizungumza na TMZ, Marc Agnifilo alisema kuwa Diddy ana nyumba kubwa kwa hivyo ananunua vitu vyake kwa wingi na kwamba kwa Diddy hicho ni kitu cha kawaida sana kwani huwa na Costcos karibu kwenye kila nyumba anayoishi
Soma Pia:
- Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga
- Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000
Dadek likiwa linampumulia mtoto wa tandale sijui ilikuajeJamaa hili linatisha, mguuni hiyo kweli sio chupa na upako 🤣🤭
View attachment 3109613
Halafu mtoto wa tandale na meneja wake wanasema walitoka salama aaaah hii siamini kwakwel🤣🤣🤣 wamarekani wenyewe wahuni wanamuogopa diddy sembuse mtoto wa Tandale🤣🤣🤣 ndo maana kale ka interview kake alipotoka marekani alikua anajiumauma sana kuelezea matukio ya kwa pdidy🤣🤣🤣Diddy hata masiahara, kama alitaka apige hadi Mike Iron Tyson, 50 Cent.. Jayz alikuwa anapigwa pigwa matakoo... Burna kitu gani yuleee 🤣🤣🤣 kwa Diddy hata uwe mgumu kuliko chuma.. akikualika chumbani.. basi imeisha hiyo.. hata awe mwalimu wa makomandooo ataliwa tu
Halafu mtoto wa tandale na meneja wake wanasema walitoka salama aaaah hii siamini kwakwel🤣🤣🤣 wamarekani wenyewe wahuni wanamuogopa diddy sembuse mtoto wa Tandale🤣🤣🤣 ndo maana kale ka interview kake alipotoka marekani alikua anajiumauma sana kuelezea matukio ya kwa pdidy🤣🤣🤣
View: https://youtu.be/ZBfYybLPczA?si=9YDr_Ar4G1_-JFLi
Kachanjia ndele makalio ya walio karibu nae yalikua hatarini kabisa☻☻mtoto wa tandale anasema anataka kua tajiri wa kwanza kumbe kupitia pesa za pdidiMessi mwenyewe alikuwa anaviziwa, akatonywa mapemaaa 🤣🤣 Diddy alikuwa hana mchezo mchezo mkurugenzi wa CIA chupu chupu kipindi Diddy kaenda onana na Obama.. huyu mtu level ingine
Nafikiri wana sheria kwa watu wanaokubaliana ila sio kwa mtu mmoja baina ya mwingine kwa kutumia nguvu.Halafu wazungu si ndio wanashadadia haya mambo ya watu kulana marinda?
Diddy toka kitambo..Kachanjia ndele makalio ya walio karibu nae yalikua hatarini kabisa☻☻mtoto wa tandale anasema anataka kua tajiri wa kwanza kumbe kupitia pesa za pdidi
Labda watoto wanaoutakakwahiyo watoto wanakuja kupakwa mafuta hapo kwake au sijaelewa
Jamaa anachek taco tuu 🔥
Sheria tamu Sana ukifuatilia mawakili mahili wakioneshana ubabe, aisee kumtia hatiani bila kuacha shaka Ni Kazi ngumu Sana mahakamani.Sheria ndo wakati mwingine imekaa kijinga ndo maana kuna mazingira busara za jaji lazima zitumike maana hapo wakili akiuliza ni kinyume cha sheria kumwaga mafuta uliyonunua mwenyewe? Jibu ni hapana, Sasa didy aliyamwaga.
KweliSheria tamu Sana ukifuatilia mawakili mahili wakioneshana ubabe, aisee kumtia hatiani bila kuacha shaka Ni Kazi ngumu Sana mahakamani.
Ndo maana mafisadi kuwafunga Kazi Sana, wanawaajili mawakili mahili sana