Mwanasheria wa Times Ziro, Yani Buyu kabisa!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Kitendo cha Times kuishtaki Clouds kwa mkataba iliyoingia na Davido kinanipa wasiwasi wa uelewa wa sheria wa mwanasheria wa Times. Katika mkataba thirdy party yani clouds hanufaiki wala hana liability kwa mkataba uliongiwa na pande mbili. Times walitakiwa wampeleke mahakamani Davido. Sio Clouds. Hii kesi inanipa wasiwasi wa uelewa na utafsiri wa sheria kwa kweli...

Soma Privity of Contract: The doctrine of privity in the common law of contract provides that a contract cannot confer rights or impose obligations arising under it on any person or agent except the parties to it. The premise is that only parties to contracts should be able to sue to enforce their rights or claim damages as such.
 
Kitendo cha Times kuishtaki Clouds kwa mkataba iliyoingia na Davido kinanipa wasiwasi wa uelewa wa sheria wa mwanasheria wa Times. Katika mkataba thirdy party yani clouds hanufaiki wala hana liability kwa mkataba uliongiwa na pande mbili. Times walitakiwa wampeleke mahakamani Davido. Sio Clouds. Hii kesi inanipa wasiwasi wa uelewa na utafsiri wa sheria kwa kweli...

Labda ulikuwa hujaelewa vizuri mtoa uzi, sikia nilivyoelewa mm!
Times fm waliingia mkataba na Davido wa kufanya show tar 1/11/2014 hivyo wao times walitegemea kwamba Tz asingeweza kufanya show yeyote kabla ya tar hiyo ya makubaliano cha kushangaza akatangazwa kuwa atakuwepo Fiesta.
Walichokifanya Times ni kuitaarifu Clouds kuwa huyu jamaa tunamkataba naye haruhusiwi kufanya show yeyote Tz. Cjui hapo walijibiwaje.
Ndipo walipokwenda kufanya zuio mahakamani.
Hivyo hapo ukiacha Davido clouds waliambiwa wakaforce ! Kumbuka habari za Okwi na Ngassa walipojichanganya nani alikuwa anashitakiwa kama cyo clubs kwa kuwachukuwa wachezaji wa wenzao!
I'm out
 
Bado anaweza kufanya show hiyo tatehe ya times. Uma uhakika mkataba ulimzuia kufany show nyingine kabla ya hiyo tarehe. In whatever case Times walitakiwa wamshataki Davido siyi clouds
 
Mie mambo ya sheria sijui.
kwani Msanii wa muziki ni chakula?Yaani ukikila kinaisha?
Show inategema na ulivyojitangaza na ubora wa msanii,ukitangaza vizuri watu watajaa.
Mbona Diamond akifanya hata show kumi kwa wiki zote watu full mtete.
 
Bado anaweza kufanya show hiyo tatehe ya times. Uma uhakika mkataba ulimzuia kufany show nyingine kabla ya hiyo tarehe. In whatever case Times walitakiwa wamshataki Davido siyi clouds
Kwani Times FM wameishitaki Clouds?,walichofanya ni kumzuia Davido kufanya show
 
Nazan times fm,waliweka injuction mahakaman kumzuia davido asifanye show fiesta,na pia waliishataki clouds kama legal entity,clouds wakaja na hoja kuwa davido hajaingia mkataba na clouds bali ameingia na prime time promotion.na hapo ndipo times fm walipo ambiwa wameshitaki mproper party,yaan mtu asiye husika.swali la msingi je prime time promotion ipo ndani ya clouds media au ni independent body.? Hapo ndipo times fm walipo umizwa.
 
Nimekuelewa
 
Bado anaweza kufanya show hiyo tatehe ya times. Uma uhakika mkataba ulimzuia kufany show nyingine kabla ya hiyo tarehe. In whatever case Times walitakiwa wamshataki Davido siyi clouds

kama wewe ni mwanasheria basi utakuwa mwanafunzi wa mwaka wa 1 au 2 coz hata maadili ya taaluma bado huyajui! huwezi kumuita mwanasheria mwenzako ziro , Buyu!

sasa ngoja nikupe darasa kidogo , hiyo doctrine ya privity to contract ( sio privity of contract kama ulivyoandika) lazima ui costurue viz a viz provisions za civil procedure code.kuna kitu kwenye civil tunaita necessary party, clouds walikuwa ni necessary party kwenye ile matter na kwa kuwa times walienda kuomba zuio la mahakama, mahakama isingeweza kutoa zuio kwa MTU ambaye hakuwa sehemu ya lile shauri kwa sababu kwa kufanya hivyo mahakama ingekuwa imemhukumu clouds bila kumsikiliza.kitaalam ilikuwa lazma clouds wawe sehemu ya shauri.

nadhani utakuwa umeelewa sasa.
 
Back
Top Bottom