Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga

Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga

Ndugu mbumbumbu usajili ni TMS, kinacho lalamikiwa ni mchezani kufanya hadaa na kufanya signing ya timu mbili.
Swala la Yanga kufungiwa alihusiani na uhamisho wa mchezaji kutoka timu Moja kwenda nyingine.
Na wakati ayo yanafanyika Yanga alikua hajafungiwa kuingia mikataba kwakua ata dirisha la usajili lilikua Bado halijafunguliwa.

Na ata timu ikifungiwa ikisha lipa inaendelea kusajili.
Mikataba ya wachezaji inaingiwa muda wowote katika msimu mradi timu yake iwena taarifa.
Magoma hakukosea kuwaita mazezeta
 
Back
Top Bottom