GE2025 Mwanasheria wa zamani wa Yanga, Simon Patrick achukua fomu ya ubunge jimbo la Muleba Kusini

GE2025 Mwanasheria wa zamani wa Yanga, Simon Patrick achukua fomu ya ubunge jimbo la Muleba Kusini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Aliyekuwa mwanasheria wa Yanga, Wakili Simon Patrick amechukua fomu kugombea ubunge Jimbo la Muleba Kusini. Simoni amekabidhiwa fomu leo Julai 2,2025 na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Muleba Kusini, Agnes Kasela.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Screenshot 2025-07-02 232210.png
 
hakuna mtanzagiza mbantu ataitwa simon patrick, patrick kama jina la ukoo, hapo labda aliadoptiwa na wasio waafrika au kuna kitu hakiko sawa kwenye cv yake, mambo ya vyeti na mambo kama hayo pia kuna kitu anaficha khs maisha yake, isitoshe hata kwa wazungu patrick siyo jina la ukoo ni jina la kwanza kwa kawaida …
 
Mwandishi kaweka majina mawili, si kwamba jina la tatu halipo ambalo ndio la ukoo
hakuna mtanzagiza mbantu ataitwa simon patrick, patrick kama jina la ukoo, hapo labda aliadoptiwa na wasio waafrika kwanza hata kwa wazungu patrick huwa kwa kawaida ni jina la kwamza na siyo la ukoo au kuna kitu hakiko sawa kwenye cv yake, mambo ya vyeti na mambo kama hayo pia kuna kitu anaficha khs maisha yake
 
Back
Top Bottom