johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.
Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.
Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.
Nawatakia Dominica Njema 😄
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM