Pre GE2025 Mwanasiasa aliyejibrand akiwa upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM, hiki kitamtesa sana Mchungaji Msigwa

Pre GE2025 Mwanasiasa aliyejibrand akiwa upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM, hiki kitamtesa sana Mchungaji Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
HUYU MSIGWA ANA NJAA KALI SANA
ALIPOKOSA KUCHAGULIWA CHADEMA KANDA YA HUKO KWAO AKAJUA SASA BAAS ! HAKUNA ULAJI TENA AKAAONA FURSA AKAIPATE CCM
 
ANAJIDHALILISHA MWENYEWE,USIWALAUMU CCM,YAANI HOJA ANAZOONGEA NI UJINGA MTU,SIJUI HATA THEOLOGIAI ALIJIFUNZA NINI
Hata Theolojia kasoma basi? Huyo alikuwa houseboy kwa Kasisi mmoja wa kizungu ndiyo amejifunza misamiati michache tu ya Theolojia ndiyo chanzo kujiita mchungaji.
 
Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.

Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.

Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.

Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.

Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.

Nawatakia Dominica Njema ๐Ÿ˜„
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Msigwa ni njaa tu ndiyo inamsumbua
 
Hata Theolojia kasoma basi? Huyo alikuwa houseboy kwa Kasisi mmoja wa kizungu ndiyo amejifunza misamiati michache tu ya Theolojia ndiyo chanzo kujiita mchungaji.
I KNOW THE GUY SINCE THEN WHEN HE USED TO SELL USED SHOES,MITUMBA IRINGA AND MBEYA THEN HE DISAPPEARED
 
Peter Simon Msigwa ni Yuda wa Eskarioti aliye msaliti Yesu,
ni Msigwa huyu amemtukana Mbowe aliyemsaidia kushinda ubunge na kutengeneza jina lake leo amejulikana anamtukana! Laana ya wanaIringa mjini itafutana nae mpaka kaburini
 
I KNOW THE GUY SINCE THEN WHEN HE USED TO SELL USED SHOES,MITUMBA IRINGA AND MBEYA THEN HE DISAPPEARED
Huyu hapa enzi anauza mitumba aliyopewa na huyo Kasisi wa kizungu awagawie bure watu wasiokuwa na uwezo yeye ndiyo akaingia sokoni. Kaanza ufisadi kitambo.
 
Attachments

  • Screenshot_20240702-230508_X.jpg
    Screenshot_20240702-230508_X.jpg
    49.8 KB · Views: 3
Sasa kwani huko upinzani alikojibrand kuna nini cha maana? Hiyo chadema yenyewe si amebaki mtu mmoja tu anayeendesha chama kama kampuni yake binafsi na wafuasi wake ambao ni nyumbu hawana hata uwezo wa kumhoji kitu chochote? Kwa mwanasiasa anayejitambua kuendelea kubaki chadema ni kukidharirisha!
Kumbuka kama siyo huyo unaemsema amefanya chama mali yake binafsi ndiye aliyemtambulisha MSALITI Peter Simon msigwa kwenye uga wa siasa.

Hakuna namna Msigwa atajitenga na mafanikio ya Chadema kwake.
 
Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.

Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.

Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.

Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.

Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.

Nawatakia Dominica Njema ๐Ÿ˜„
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Ni kama toilet paper ikifunduliwa kwenye kasha ni nyeupe sana ila ikishapelekwa ilikokusudiwa hata mwenye duka ataikataa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Njaa mbaya sana, Msigwa ulikua ukimsikiliza anaanza kutoa hoja mara kidogo amemrefer Martin Luther king, mara mahatma. Aanze kuichambua meritocracy ilivyopuuzwa na CCM. Mwisho wa siku na yeye amevizia ameona atumbukie birikani kupata Uponyaji.
 
Back
Top Bottom