johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.
well stated Mbatizaji, lbda watakusia na wajitathmini...Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.
Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.
Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.
Nawatakia Dominica Njema π
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Hawezi kulielewa hili. Yeye angetulia tu kama Kafulila alivyofanya asubiri kipande cha keki alichoahidiwa mambo ya songe mbele. Vinginevyo akiendelea kuropoka ropoka atachuja mapema.Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.
Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.
Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.
Nawatakia Dominica Njema [emoji1]
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Hasira za kukosa Cheo Chadema πΌSijui Nani alimshauri!
Hizi dhambi hizi.View attachment 3061071
CCM wabaya sana wameamua kumdhalilisha mch Msigwa mchana kweupeee.
Alijifanya mgumu wakati wa Jiwe, kaja kuhamia kipindi kibovu cha kudhalilishwa na Uvccm,Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.
Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.
Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.
Nawatakia Dominica Njema π
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Ni maswetule huyo.Siyo muhehe.
Msigwa ni Mkinga wa Milima ya Matamba kule Makete
Maswetule ndio nini mkuu,Ni maswetule huyo.Siyo muhehe.
Nimekusoma. Ndiyo maana anakidada kama Tumtemeke. Ngoja tuone ataishia wapiMsigwa ni Mkinga wa Milima ya Matamba kule Makete
Ongeza Halima na Covid 19 wamepotea mazima kabisa, Upendo Peneza kwisha, ukicheleweshewa posho zenu za UWT huwa unatema madini snMwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.
Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.
Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.
Nawatakia Dominica Njema π
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Hakuna sehemu yenye majungu kama CCMHawezi kulielewa hili. Yeye angetulia tu kama Kafulila alivyofanya asubiri kipande cha keki alichoahidiwa mambo ya songe mbele. Vinginevyo akiendelea kuropoka ropoka atachuja mapema.
Wasichofahamu ni kuwa hata huko CCM kwenyewe wapo wengi wasiofurahia ujio wa watu kama wao
Asubiri nafasi za uteuzi tu, lakini majukwaani atapwaya!Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.
Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.
Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.
Nawatakia Dominica Njema π
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Wakinga wengi wana akili japo ni washirikina, kwanini yeye hana akili?Msigwa ni Mkinga wa Milima ya Matamba kule Makete
John chadema hawana haja yakuutafuta umaarufu,ila umaarufu unawatafuta wao.Salamu zimfikie mchungaji.Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.