Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Watu wakijayua haya mapema, yatawasaidia kupima dhamira za hawa wanasiasa wetu.Uzi ubaki hapa tuone mwisho wa Nyalandu.
Kwanini nyie msiwafukuze?Nashangaa bado hajatajwa au anataka iwe si kwenye hadhara kubwa kama ya leo.
mmeshamuharibia hapewi tenaMods hii mada itaeleweka/inaeleweka kwa mtu yoyote ambae ni mfuatiliaji wa mambo na kuifuta ni kuenzi hizi siasa za hovyo zilizoasisiwa na marehemu.
Wacheni watu wayajue mambo haya mapema kabla hayajatkmia ili wasiumizwe vichwa na hawa wanasiasa pale yatapotimia.
Hii nchi ni yetu sote na tunapaswa kuungana kila mtu kwa nafasi yake kuwapiga vita wanasiasa hawa walioweka mbele masilahi yao binafsi na si kuwalinda
Tarehe 25/03/2021, yule Bwana maarufu kule Twitter aliandika kuwa mwanasiasa huyu atarudi katika chama chake na kupewa ubalozi. Whistleblower huyu kupitia tweet yake alitaja mpaka watu/ mtu aliehusika na idara iliyotumilka kufanikisha jambo hili.
Kwakuwa hili la kwanza limeshatimia leo hii,basi tusubiri na hilo lingine litimie la yeye kupewa ubalozi.
HAWATAJIFUNZE BORA MREMA ALISHAJINYAMAZIA, ETI WANATAKA KATIBA MPYA KUIONDOA CCM. THUBUTU, CCM ILISHAJICHIMBIA KUITOA ITAKUWA MWISHO WA DUNIA WALLAHCDM wajifunze ubaya wa mamluki.
Mwisho wake ni kuishi kwa matumaini kama wenzake kina Mpendazoe nk.Uzi ubaki hapa tuone mwisho wa Nyalandu.
Nyalandu kanunuliwa?Minjino afisa kipenyo ndio oganaiza na dalali aliyefanikisha kumrejesha Nyalandu ngoja apewe ubalozi.
Aliogopa kufukuzwaInaeleweka kwa mtu yoyote ambae ni mfuatiliaji wa mambo na kuifuta ni kuenzi hizi siasa za hovyo zilizoasisiwa na marehemu.
Wacheni watu wayajue mambo haya mapema kabla hayajatkmia ili wasiumizwe vichwa na hawa wanasiasa pale yatapotimia.
Hii nchi ni yetu sote na tunapaswa kuungana kila mtu kwa nafasi yake kuwapiga vita wanasiasa hawa walioweka mbele masilahi yao binafsi na si kuwalinda
Tarehe 25/03/2021, yule Bwana maarufu kule Twitter aliandika kuwa mwanasiasa huyu atarudi katika chama chake na kupewa ubalozi. Whistleblower huyu kupitia tweet yake alitaja mpaka watu/ mtu aliehusika na idara iliyotumilka kufanikisha jambo hili.
Kwakuwa hili la kwanza limeshatimia leo hii,basi tusubiri na hilo lingine litimie la yeye kupewa ubalozi.
Nyalandu si ndie yule aliyempelekea JPM genge la makarani kutoka Marekani eti wakamsalimie JPM Ikulu? JPM akawafukuzia mbali akawaambia yeye kama mkuu wa nchi si saizi yao, kama anataka awapeleke kule Dodoma bungeni kwa watu wa saizi yao?Na kwa past history huyu anaenda kuwa kama sio balozi basi first secretary ubalozi wetu kule washington DC.
Nyalandu ameishi marekani muda kiasi na ana uzoefu na wamarekani hivyo si vibaya kumrudisha kule akalete investors. Japo huyu kwa ujanja ujanja na kujiamini anakaribiana na Mponjole. Lazima yeye anufaike kwanza ndio taifa baadae.
Sent from my SM-T825 using JamiiForums mobile app