YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Nyalandu binafsi sina tatizo naye ni kiongozi mzuri nilimpigia debe hata akiwa Chadema kuwa ndie afaa kugombea uraisi kupitia chama hicho ana uwezo liakili na kipesa na siasa safi aziweza wakaleta Lisu mimi binafsi nililalamika sana humu Jamii forums
Nyalandu ni binadamu ana mapungufu yake lakini aliwezesha watalii wengi sana wenye pesa kuja Tanzania kutalii toka marekani.Yeye ndie alifungua soko kubwa la watalii wa marekani wenye pesa kuja Tanzania
weakness anazo ndogo ndogo nadhani sasa atakuwa yuko mature kujirekebisha keshajua pia kuwa political carrier is a long term investment in character etc isiyotakiwa kuchezewa kwa short term benefit if you aim higher than where you are.Magufuli , Samia and Mpango Cases are best examples
Apewe cheo popote naamini kajifunza na kapata ukomavu