sio dhambi mkuu, naye ni Mtanzania....amesoma anauzoefu wa kufanya kazi serikalini nk...
Tatizo la msingi kwenye nchi hii lipo kwenye msingi kabisa wa maisha ya watu, kuanzia wanapozaliwa, wanaposoma, wanapokua na kuannza shule....hapo ndio kwenye shida ya maisha ya mtanzania.. kama tunaweza kupambana na CCM wakaweka sawa hapo basi tunaweza kutengeza kizazi bora kinachoweza kuleta mageuzi kila mahala...
Kwa sasa nchi ina shida kuanzia CCM, CDM, ACT mpaka TLP kwa Mrema except Chauma kwa Mzee Rungwe... tutaumiza vichwa sana. Aliyeshika remote ya politics za Tanzania anajua namna ya kuicheza hii game kuanzia upinzani mpaka chama tawala.....kifupi hii ngoma tutaicheza sana na usipokuwa makini unaweza kukuta uko CDM lakini ukawa unatumika bila kujua...