Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima sana wanajamvi,
Katika nchi ya Guyana Mwanasiasa machachari apata kipigo cha Paka Mwizi.
Nasisitiza kipigo hiki kimetokea katika magareza ya Nchi ya Guyana 🇬🇾 na bendera nimeweka kabisa.
Mwanasiasa huyo machachari kashindwa mara mbili kuripoti katika Hospital ya taifa kwaajili ya kufanya usafi kama sehemu ya adhabu yake.
Mwanasiasa huyo alikumbana na kipigo hicho kitakatifu kutoka kwa wafungwa wenzake.Uti wa mgongo,Mbavu na kichwa ni baadhi ya sehemu zilizopata madhara na kusababisha maumivu makali.