Mwanasiasa Machachari apata kipigo kikali

Mwanasiasa Machachari apata kipigo kikali

Ndio Mkuu.. Guyana si ipo chini ya Chief Hangaya?
1636045084696.jpeg

Guyana ipo chini ya Ali.
 
Cha muhimu asife tu Jamani.. Ili afaidi kifungo chake vizuri. Akifa utamu utaishia njiani [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cha muhimu asife tu Jamani.. Ili afaidi kifungo chake vizuri. Akifa utamu utaishia njiani [emoji3][emoji3][emoji3]

Kufa hata kufa lakini chamoto atakiona.
 
Fasihi mtabuka Guyana kibiko chao...itabidi wamuhamishie KASUMBALESA
 
Inasikitisha Sana yule mwanasiasa Tatizo aliendekeza bifu na raia wengi wa Guyana na unavyoijua nguvu ya siasa lile genge la kina late 0 Escobar wapo Kila gereza la nchi Ile na wanajua mkuu wao alihujumiwa na mwanasiasa yule na wakajiapiza watamlipia kisasi si unajua Carters hawana dogo?
Atajua hajui!
 
Back
Top Bottom