gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Walikuwa na umoja wao kama sijasahau walikuwa wanajiita G20 bungeni.Miongoni mwa wabunge machachari miaka hiyooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa na umoja wao kama sijasahau walikuwa wanajiita G20 bungeni.Miongoni mwa wabunge machachari miaka hiyooo
Yah ni wazee wa kitambo hawa.Mmmm huyu atakuwa mkongwe sana sijawahi msikia hata
Unajua kovidi tu pekee!Ni kovidi au? Poleni wafiwa
Walimsumbua sana Mzee Mwinyi hao na wenzake 54Duu.huyu mgeni kwangu kusema ukweli
Ni jimbo la Chunya ndg, jimbo analoshikilia Victor Mwambalaswa kwa sasa.Huyo ni mbunge wa zamani wa mbeya mjini km sikosei
Duu kwa kipindi hicho kama chama au bunge ndio wana nguvu haswaaaWalimsumbua sana Mzee Mwinyi hao na wenzake 54
Mpaka hapo nimepata ka mwanga fulani huenda hakosi 70 point na kuendelea hukoYah ni wazee wa kitambo hawa.
Kuanzia leo shkamooRIP Mzee wetu, utakumbukwa mno hasa kwa hoja yako nzito ya kuidai Tanganyika huru!!
Hao ndio walioidai Tanganyika yetu iwe huru kama Zanzibar, Nyerere na Mwinyi wakawachinjia baharini.Sory mkuu alikuwa nani ndani ya nchi hii.
Sisi vijana wa juzi /jana wengine hatumjui
Ni kweli nilionana naye miezi miwili iliyopita alikuwa vizuri kiafya ila umri umesogea, niliteta naye mawili matatu bado kichwani alikuwa vema.Mpaka hapo nimepata ka mwanga fulani huenda hakosi 70 point na kuendelea huko
Yeeeee!!!atakuwa mkongwe sana huyu sijawahi msikia hataHao ndio walioidai Tanganyika yetu iwe huru kama Zanzibar, Nyerere na Mwinyi wakawachinjia baharini.
Daa!!pole sana mkuu dunia hii tunapita tuuNi kweli nilionana naye miezi miwili iliyopita alikuwa vizuri kiafya ila umri umesogea, niliteta naye mawili matatu bado kichwani alikuwa vema.
Wakati huo ni hoja kwa hoja,sio wakati huu ni hoja kwa risasi,kutekwa,sumu na kufilisiwa.Rest In Power Mzee wa G55 na Tanganyika yake
wakati CCM ikiwa ni Chama Cha Mapinduzi kikwelikweli
M.A.P Njelu Kasaka Mkongwe!!Masache Kasaka amethibitisha kifo cha Baba Yake kwa kusema amefariki dunia kutokana na tatizo la moyo lililokuwa linamsumbua. “Wakati anaedelea na matibabu katika hospitali akapata mshituko wa moyo uliosababisha kufariki dunia,” . Msiba uko nyumbani kwake, Chunya mkoani Mbeya, “na mazishi yatakuwa Jumapili (tarehe 5 Julai,2020).”
Kasaka ambaye amepata kuwa mbunge, Waziri na mkuu wa mkoa, alijitoa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2015 na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kugombea ubunge jimbo la Lupa.
Mwaka 2019, Kasaka alizindua kitabu chake alichokiita ‘Njelu Kasaka: Maisha, Siasa na Hoja ya Tanganyika-G55.”
Mzee Njelu Kasaka ameacha watoto saba na mjane mmoja.
Baada ya kusoma makala yake nikaisaka CV ya Njelu Kasaka
Njelu Kasaka: Hakuna aliye salama ndani na nje ya CCM
Njelu Kasaka ajiunga na CHADEMA
Wako wapi G55?
Daa!!pole sana mkuu dunia hii tunapita tuu
... wewe kweli dot.com!Huyo ni mbunge wa zamani wa Mbeya mjini kama sikosei.