Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
CHADEMA msijichanganye kumuweka mtu mwingine kugombea nafasi ya Urais CHADEMA zaidi ya Godbless Lema.
Tundu Lissu ni maarufu ndio lakini linapokuja suala la kuwa Rais, Godbless Lema ni presidential material kabisa.
CHADEMA kwa sasa inahitaji mtu mwenye siasa za U-populist (Kama Trump).
Soma pia: Godbless Lema: Ukiona mke wako anavaa chupi ya mwanamke mwingine ambaye ametokea Marekani, hiyo nyumba ina umasikini
Mtu anayeweza kumshawishi mamantilie, kondakta au kuli kuipigia CHADEMA kura na hamna mtu yeyote hapo CHADEMA kwa sasa anaweza kuifanya hiyo kazi vizuri kama Godbless Lema.
Lissu siasa zake zake ni (elites politics) wanaozielewa ni watu wa mjini ambao wana elimu sana na wako familiar na mfumo. Bahati mbaya sana, Watanzania wengi wako vijijini kuliko mjini.
Ukisikiliza speech za Lema unaona kabisa anaweza kutafuna hoja nzito to the point where hata mtu asiyefuatilia siasa akaelewa. Huyo ndo mtu anayetakiwa kupewa tiketi ya CHADEMA ya Urais mwaka huu.
Lissu abaki na Uenyekiti, Lema akagombee Urais, this is the way forward and only if hiyo agenda ya No Reforms No Elections itafanikiwa!