Mwanasiasa ukiwa kiziwi,usijipe upofu na ububu pia!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Madaraka hulevya, na madaraka makubwa hulevya zaidi. Bahati mbaya ulimwenguni pote, madaraka ya kisiasa ndiyo madaraka Makuu kuliko madaraka mengine yoyote yale!

Wanasiasa wamepewa madaraka ya kuamua vita, kutoa amri ya kunyonga na kutunga Sheria za kila aina. Kwa kifupi wanasiasa ndiyo wana hatima ya binadamu wenzao mikononi mwao.

Sasa mwanasiasa akijitia uziwi, ajitahidi basi asijitie pia upofu na ububu!
 
Mimi nawakumbusha policcm tu .

Pichani ni Omari Mahita.

Nyuma yake mlinzi wake ni Diwani Athumani.

Tukio : CCM na policcm waliingiza kontena la majambia ili ionekane CUF wanataka kuleta machafuko [ kama leo hii Chadema wanavyoitwa wahaini] Mahita alijiita Ngunguri.

Miaka michache mbele: Diwani anakuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa anashiriki utekaji , mauaji ya wapinzani na wizi wa kura mkubwa kuwahi kutokea kwa maagizo ya Magufuli mwaka 2020

2021: Magufuli aliyemtuma Diwani anapigania uhai wake kitandani na kufaririki Diwani na wenzie wakiwa hawana msaada zaidi , anazikwa bila ule ulinzi aliowahi kuwa nao.

2022: Diwani anatenguliwa ukurugenzi wa usalama wa taifa anapewa ukatibu wa ikulu hajamaliza hata wiki anatenguliwa tena huku akiwa hajulikani alipo kwa sasa na alifanya kosa gani.

Leo hii ni 2025 Diwani hajulikani alipo na hana kauli wala maamuzi tena.

Mahita yuko kajichokea yule aliyejiita Ngunguri hata sasa push up 5 hawezi kufika.

Funzo: Madaraka yana ukomo .
images - 2025-05-03T194237.711.jpeg
 
View attachment 3323812
Mambo yote ni ubatili chini ya jua,Tenda mema hata kama huamini Uwepo wa Mungu ili ukikutana nae usiwe na Nongwa nae! Maisha tunapita ,tusiwahishane kufa!
 
Back
Top Bottom