Mimi nawakumbusha policcm tu .
Pichani ni Omari Mahita.
Nyuma yake mlinzi wake ni Diwani Athumani.
Tukio : CCM na policcm waliingiza kontena la majambia ili ionekane CUF wanataka kuleta machafuko [ kama leo hii Chadema wanavyoitwa wahaini] Mahita alijiita Ngunguri.
Miaka michache mbele: Diwani anakuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa anashiriki utekaji , mauaji ya wapinzani na wizi wa kura mkubwa kuwahi kutokea kwa maagizo ya Magufuli mwaka 2020
2021: Magufuli aliyemtuma Diwani anapigania uhai wake kitandani na kufaririki Diwani na wenzie wakiwa hawana msaada zaidi , anazikwa bila ule ulinzi aliowahi kuwa nao.
2022: Diwani anatenguliwa ukurugenzi wa usalama wa taifa anapewa ukatibu wa ikulu hajamaliza hata wiki anatenguliwa tena huku akiwa hajulikani alipo kwa sasa na alifanya kosa gani.
Leo hii ni 2025 Diwani hajulikani alipo na hana kauli wala maamuzi tena.
Mahita yuko kajichokea yule aliyejiita Ngunguri hata sasa push up 5 hawezi kufika.
Funzo: Madaraka yana ukomo .
View attachment 3323812